RAIS KIKWETE AELEKEA RUVUMA KWA ZIARA YA KIKAZI YA WIKI MOJA
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Kamishna wa Polisi Msaidizi Mwandamizi (SACP) Mary Nzuki, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kipolisi wa Ilala, katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam leo Julai 17, 2014 wakati akipanda ndege kuelekea mkoani Ruvuma kuanza ziara ya Kikazi ya wiki moja ambapo atakagua na kuzindua miradi ya maendeleo na kuongea na wananchi. Kati kati ni Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP) Hamisi Selemani, Kamanda wa Polisi katika Uwanja huo...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
MichuziJK AELEKEA MKOANI RUVUMA KWA ZIARA YA KIKAZI YA WIKI MOJA
10 years ago
MichuziRAIS KIKWETE AELEKEA GENEVA LEO KWA ZIARA YA KIKAZI
10 years ago
Dewji Blog25 Feb
Rais Kikwete aelekea nchini Zambia kwa ziara ya kikazi ya siku mbili
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania , Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete ameondoka leo tarehe 25 Februari, 2015 kuelekea Lusaka Zambia kwa ajili ya ziara ya kikazi ya siku mbili kufuatia mwaliko kutoka kwa Rais Edgar Chagwa Lungu wa Zambia.
Viongozi hao wanatarajia kufanya mazungumzo kuhusu ushirikiano wa nchi mbili hizi ikiwemo suala la reli ya Tanzania-Zambia Railway Authority (TAZARA), inayounganisha Tanzania na Zambia.
Hivi karibuni Reli ya TAZARA imekuwa ikikabiliwa na changamoto...
10 years ago
MichuziDk.Shein aelekea nchini Ujerumani leo kwa ziara ya kikazi
10 years ago
MichuziDkt. Shein aelekea Visiwa vya Samoa kwa ziara ya kikazi
10 years ago
VijimamboRAIS KIKWETE AHANI MSIBA WA MFALME WA SAUDI ARABIA, AWASILI BERLIN, UJERUMANI, KWA ZIARA YA KIKAZI
10 years ago
Dewji Blog14 Sep
Pinda awasili Tanga kwa ziara ya kikazi ya siku moja
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na wasanii wa kikundi cha wanawake wa cha Tanga cha Msanja baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Tanga kwa ziara ya siku moja ya kikazi. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na wasanii wa kikundi cha wanawake wa cha Tanga cha Msanja baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Tanga kwa ziara ya siku moja ya kikazi Kulia ni Mkuu wa Mkoa huo Chiku Gallawa. (Picha na Ofisi ya Waziri...
11 years ago
Dewji Blog10 Jul
Rais Kikwete katika ziara ya kikazi Mkoani Tanga
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimkabidhi Pikipiki mmoja wa maafisa watendaji kata Wilaya ya Kilindi Bi.Elizabeth Mwita muda mfupi kabla ya Rais Kuhutubia Mkutano wa hadhara mjini Songe Kilindi. Rais Kikwete yupo katika ziara ya kikazi mkoani Tanga.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimkabidhi kombe katibu wa TFF Wilaya ya Kilindi Bwana Omari Javu wakati wa mkutano wa hadhara uliofanyika mjini Songe Kilindi jana.Kombe hilo lijulikanalo kama Kikwete cup litashindaniwa katika ligi ya wilaya...
10 years ago
MichuziWAZIRI MKUU AWASILI MKOANI TANGA KWA ZIARA YA SIKU MOJA YA KIKAZI