Rais Kikwete afichua siri kuhusu Mandela
Rais Jakaya Kikwete jana aliyateka mazishi ya Rais wa kwanza mzalendo wa Afrika Kusini, Nelson Mandela, alipotoa salamu mbele ya maelfu ya waombolezaji na wageni wa kimataifa walioshiriki katika mazishi hayo.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima24 Apr
Warioba afichua siri ya JWTZ kuhusu Muungano
ALIYEKUWA Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba, ametoa siri ya msimamo wa majeshi ya Tanzania kuhusu muundo wa Muungano wa sasa. Jaji Warioba ametoa siri hiyo...
9 years ago
Habarileo24 Dec
Pluijm afichua siri ya usajili
KOCHA wa Yanga Mholanzi Hans van der Pluijm, ameweka wazi sababu ya kuendelea kusajili kwenye dirisha dogo ni kuifanya timu hiyo iwe bora Afrika. Alisema lengo ni kuepuka kikosi chake kutegemea baadhi ya wachezaji pindi wanapokuwa katika ushindani mkubwa kama ilivyo sasa.
10 years ago
Mwananchi12 Jan
Okwi afichua siri Simba
10 years ago
Habarileo12 Sep
Warioba afichua siri ya Ukawa
ALIYEKUWA Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba amefichua siri ya vyama vya upinzani vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), akisema vilikwamisha mchakato huo ili baadaye viingize vipengele vyao wakiingia madarakani.
10 years ago
Mwananchi30 Oct
Kerr afichua siri ya Simba
10 years ago
GPL
RAY AFICHUA SIRI YA CHUCHU!
10 years ago
Habarileo17 Aug
Butiku afichua siri ya Lowassa
WAKATI hekaheka za kuondoka kwa Edward Lowassa kuingia Chadema zikiwa bado zina mjadala mkali, jana Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere Foundation (MNF), Joseph Butiku ametoboa siri iliyokaa takribani miongo mitatu ya kundi la mtandao na mashtaka dhidi ya Lowassa yaliyofanywa na aliyekuwa Rais wa awamu ya Pili, Ali Hassan Mwinyi.
11 years ago
GPL
JOKATE AFICHUA SIRI YA KUPATANA NA WEMA
11 years ago
Mwananchi30 Jun
Dk Salim afichua siri ya JK na Tume ya Warioba