RAIS KIKWETE AKUTANA NA RAIS MSTAAFU WA MAREKANI BILL CLINTON JIJINI DAR ES SALAAM APRIL 28, 2015.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimkaribisha Rais Mstaafu wa Marekani Mhe Bill Clinton Ikulu jijini Dar es salaam leo April 28, 2015.na kisha kufanya mazungumzo na rais huyo wa 42 wa Marekani yuko nchini kukagua miradi ya maendeleo na afya inayofadhiriwa na taasisi za Clinto Development Initiative (CDI) na Clinto Health Access Initiative (CHAI).
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akifanya mazungumzo na Rais Mstaafu wa Marekani Mhe Bill Clinton Ikulu jijini Dar es salaam leo April 28, 2015.rais huyo wa...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL
RAIS KIKWETE AKUTANA NA RAIS MSTAAFU WA MAREKANI BILL CLINTON JIJINI DAR ES SALAAM LEO
10 years ago
Dewji Blog29 Apr
Rais Kikwete akutana na Rais mstaafu wa Marekani Bill Clinton jijini Dar
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimkaribisha na kisha kufanya mazungumzo na Rais Mstaafu wa Marekani Mhe Bill Clinton Ikulu jijini Dar es salaam jana April 28, 2015. Rais huyo wa 42 wa Marekani yuko nchini kukagua miradi ya maendeleo na afya inayofadhiliwa na taasisi za Clinton Development Initiative (CDI) na Clinton Health Access Initiative (CHAI).
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete jana, Jumanne, Aprili 28, 2015, amekutana na kufanya mazungumzo ya...
10 years ago
Vijimambo.jpg)
WAZIRI WA MEMBE AKUTANA NA RAIS MSTAAFU WA MAREKANI BILL CLINTON JIJINI DAR ES SALAAM
.jpg)
10 years ago
GPL.jpg?width=600)
WAZIRI WA MEMBE AKUTANA NA RAIS MSTAAFU WA MAREKANI BILL CLINTON JIJINI DAR
9 years ago
MichuziRAIS DKT. JOHN POMBE MAGUFULI AFANYA MAZUNGUMZO NA RAIS MSTAAFU DKT. JAKAYA KIKWETE, IKULU JIJINI DAR ES SALAAM.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Rais Mstaafu wa Awamu ya nne, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, Ikulu jijini Dar es Salaam.
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

10 years ago
Vijimambo
10 years ago
Michuzi
10 years ago
Dewji Blog10 Apr
11 years ago
Michuzi
RAIS KIKWETE AKUTANA NA MEYA WA MJI WA VALLEJO WA MAREKANI, IKULU DAR ES SALAAM


