Rais Kikwete aongoza mahafali ya Tatu ya Chuo Cha Ulinzi wa Taifa (NDC) Jijini Dar leo

Amiri Jeshi Mkuu ,Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na wahitimu wa kozi ya Tatu ya Chuo Cha Ulinzi wa Taifa (National Defence College NDC) huko Kunduchi jijini Dar es Salaam leo.Aliyeketi Pembeni ya Rais kulia ni Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama Jenerali Davis Mwamunyange na aliyeketi pembeni ya Rais Kushoto ni Mkuu wa Chuo hicho Meja Jenerali Gaudence Salim Milanzi.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimpa zawadi na medali ya dhahabu ya mwanafunzi bora katika kozi...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziUJUMBE KUTOKA CHUO CHA TAIFA CHA ULINZI (NDC) WATEMBELEA MAKAO MAKUU YA JESHI LA MAGEREZA, JIJINI DAR
11 years ago
Michuzi
RAIS KIKWETE ATUNUKU WAHITIMU WA CHUO CHA TAIFA CHA ULINZI KATIKA MAHAFALI YA KOZI YA PILI

11 years ago
Michuzi
RAIS KIKWETE ATOA MHADHARA KATIKA CHUO CHA ULINZI JIJINI DAR ES SALAAM LEO


5 years ago
Michuzi
MAAFISA WASHIRIKI KUTOKA CHUO CHA ULINZI WA TAIFA(NDC) WATEMBELEA KIWANDA CHA GEREZA KUU UKONGA JIJINI DSM


10 years ago
Vijimambo
RAIS KIKWETE AONGOZA KIKAO CHA TISA CHA BARAZA LA TAIFA LA BIASHARA IKULU JIJINI DAR ES SALAAM LEO



11 years ago
GPL
RAIS KIKWETE ATOA MHADHARA KATIKA CHUO CHA ULINZI JIJINI DAR ES SALAAM
10 years ago
Dewji Blog02 Oct
Rais Kikwete aongoza kikao cha tisa cha Baraza la Taifa la Biashara Ikulu jijini Dar



10 years ago
MichuziRAIS KIKWETE AKABIDHI VITABU CHUO CHA ULINZI CHA TAIFA(NATIONAL DEFENCE COLLEGE)
11 years ago
Michuzi.jpg)
Rais Kikwete aongoza kikao cha Kamati Kuu ya CCM, Ikulu jijini dar leo
.jpg)
Magazeti ya Leo
-
1
-
2
-
3
-
4
-
5
-
6
-
7
-
8
-
9
-
10