RAIS KIKWETE ATOA MHADHARA KATIKA CHUO CHA ULINZI JIJINI DAR ES SALAAM LEO

Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete leo amekumbuka enzi za kuwa mwalimu katika Chuo cha Jeshi la Wananchi wa Tanzania cha Monduli, Arusha, alipotoa mhadhara kuhusu Fursa (A lecture of Opportunity) katika Chuo cha Taifa cha ulinzi (National Defence College -NDC- ) kilichopo Kunduchi jijini Dar es salaam ambako aliahidi kwamba baada ya kustaafu Urais mwakani atakuwa mwalimu chuoni hapo. Pichani anaonekana Rais Kikwete akisikiliza swali kutoka kwa mmoja wanafunzi hao baada ya mhadhara wake.
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL
RAIS KIKWETE ATOA MHADHARA KATIKA CHUO CHA ULINZI JIJINI DAR ES SALAAM
10 years ago
Michuzi
Rais Kikwete aongoza mahafali ya Tatu ya Chuo Cha Ulinzi wa Taifa (NDC) Jijini Dar leo


10 years ago
Michuzi
Rais Kikwete atoa Mhadhara katika kituo cha Kimataifa cha Woodrow Wilson



10 years ago
Vijimambo
10 years ago
Michuzi
10 years ago
Dewji Blog10 Apr
10 years ago
Dewji Blog02 Sep
Rais Kikwete aagwa na Majeshi ya Ulinzi na Usalama nchini mapema leo jijini Dar es Salaam
Picha ya juu na chini: Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya ulinzi na Usalama Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akikagua gwaride rasmi liliandaliwa na vikosi mbalimbali wakati wa sherehe ya kuagewa rasmi na vyombo vya ulinzi na usalama iliyofanyika katika uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam leo.
…Naaga!!
11 years ago
Michuzi
RAIS KIKWETE ATUNUKU WAHITIMU WA CHUO CHA TAIFA CHA ULINZI KATIKA MAHAFALI YA KOZI YA PILI

10 years ago
Vijimambo
RAIS KIKWETE AONGOZA KIKAO CHA TISA CHA BARAZA LA TAIFA LA BIASHARA IKULU JIJINI DAR ES SALAAM LEO


