Rais Kikwete aongoza mahafali ya tau National Defence College
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimpa zawadi na medali ya dhahabu ya mwanafunzi bora katika kozi ya tatu ya National Defence College(NDC) Brigedia Jenerali Aloyce Damian Mwanjile wakati wa mahafali iliyofanyika chuoni huko Kunduchi jijjini Dar es Salaam leo(picha na Freddy Maro)Amiri Jeshi Mkuu ,Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja n wahitimu wa kozi ya Tatu ya Chuo Cha Ulinzi wa Taifa(National Defence College NDC) huko Kunduchi jijini Dar es Salaam leo.Aliyeketi...
Vijimambo