Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


RAIS KIKWETE AONGOZA UFUNGAJI WA ZOEZI LA MEDANI LA MAADHIMISHO YA MIAKA 50‏

 Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete, Makamu wa Pili wa Rais Wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi, Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Dkt Hussein Mwinyi (wa tatu kushoto) , Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue (wa pili kushoto) , Mkuu wa Majeshi Jenerali Davis Mwamunyange (kushoto kwa Rais) , Mnadhimu Mkuu wa JWTZ ,  Luteni  Jenerali  Samwel Ndomba Kamanda wa vikosi vya Ardhini wa  JWTZ...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE AONGOZA UFUNGAJI WA ZOEZI LA MEDANI LA MAADHIMISHO YA MIAKA 50

Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiangalia madhara ya mapigo ya silaha mbalimbali wakati wa ufungaji wa zoezi la medani la maadhimisho ya miaka 50 ya Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) Monduli, Arusha, leo Septemba 5, 2014.Sehemu ya askari wakitoka katika mapambano wakati wa ufungaji wa zoezi la medani la maadhimisho ya miaka 50 ya Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) Monduli, Arusha, leo Septemba 5, 2014. Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete, Makamu wa Pili wa Rais Wa...

 

10 years ago

GPL

RAIS KIKWETE AONGOZA WATANZANIA KATIKA MAADHIMISHO YA MIAKA 51 YA MUUNGANO

Rais Dk. Jakaya Kikwete na viongozi mbalimbali wa serikali wakiwa katika maadhimisho ya muungano. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Kikwete leo amewaongoza Watanzania katika maadhimisho ya miaka 51 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar uliounda Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Maadhimisho hayo kitaifa yamefanyika katika Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam na kuhudhuriwa na viongozi mbalimbali wa serikali. ...

 

11 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE AONGOZA KILELE CHA MAADHIMISHO YA MIAKA 37 YA KUZALIWA CCM MKOANI MBEYA LEO

Mwenyekiti wa chama chama cha CCM,Rais Jakaya Kikwete akiwahutubia Wananchi na Wanachama wakareketwa wa chama hicho,mapema leo jioni kwenye kilele cha maadhimisho ya kusherehekea miaka 37 ya kuzaliwa kwa chama hicho,yaliyofanyika kwenye uwanja wa kumbukumbu ya Sokoine,jijini Mbeya,Pichani kulia ni Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Kinana akishuhudia tukio hilo.  Sehemu ya Umati wa Watu waliofika kwenye shamrashamra hizo leo.
Mwenyekiti wa chama chama cha CCM,Rais Jakaya Kikwete akiwa...

 

11 years ago

GPL

MWENYEKITI WA CCM DK. KIKWETE AONGOZA MATEMBEZI YA MSHIKAMANO MAADHIMISHO YA MIAKA 37 YA CCM JIJINI MBEYA‏

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Rais Dr. Jakaya Kikwete akiwasili eneo la Soweto Mwanjelwa jijini Mbeya tayari kwa kuanza matembezi ya mshikamano kwa ajili ya maadhimisho ya miaka 37 ya CCM. Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Rais Dr. Jakaya Kikwete akisalimiana na Makamu Mwenyekiti wa CCM bara Mzee Philip Mangula na Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana.… ...

 

11 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE AONGOZA MAADHIMISHO YA KUMBUKUMBU YA MIAKA 30 YA KIFO CHA HAYATI EDWARD MORINGE SOKOINE WILAYANI MONDULI

Rais wa Jamhuri wa Tanzania Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete akiwa ameketi na wajane wa hayati Edward Moringe Sokoine pamoja na baadhi ya viongozi wa kitaifa katika misa ya kumbukumbu ya miaka 30 ya kifo cha Sokoine. Mhe. Rais akiweka shada la maua katika kaburi la aliyekuwa waziri Mkuu wa Tanzania hayati Edward Moringe Sokoine. Rais Mstaafu wa awamu ya tatu Mhe. Benjamini William Mkapa akiweka shada la maua katika kaburi la aliyekuwa waziri Mkuu wa Tanzania hayati Edward Moringe Sokoine.

 

11 years ago

Dewji Blog

Rais Kikwete aongoza maadhimisho ya Mei Mosi jijini Dar

m1

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipungia mkono waandamanaji aliowapokea katika kilele cha Siku ya Wafanyakazi Duniani (MEI MOSI) leo Mei 1, 2014 katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.

m3

Akiwa mwingi wa furaha, Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipokea waandamanaji katika kilele cha Siku ya Wafanyakazi Duniani (MEI MOSI) leo Mei 1, 2014 katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. 

m5

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa kashikana mikono na viongozi wa serikali na wa Shirikisho la Vyama vya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani