Rais Kikwete aonya wanaopanga kulinda kura vituoni
Rais Jakaya Kikwete amesema watu wanaopanga kubaki katika vituo vya kupigia kura baada ya kumaliza zoezi hilo kwa lengo la kulinda kura kunaashiria uvunjaji amani, hivyo serikali imejipanga kupambana na hali hiyo siku ya uchaguzi.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mzalendo Zanzibar15 Oct
Mbowe Amjibu Rais Kikwete Kuhusu Idadi ya Wapiga Kura na Zuio la Wananchi Kulinda Kura Vituoni
Mwenyekiti wa Chadema, Mh Freeman Thursday, October 15, 2015 Mwenyekiti wa Chadema, mh Freeman Mbowe amemtaka Rais Kikwete kutovuruga amani ya nchi na badala yake amemtaka aondoke madarakani na kuiacha nchi ikiwa salama. Mbowe alitoa kauli […]
The post Mbowe Amjibu Rais Kikwete Kuhusu Idadi ya Wapiga Kura na Zuio la Wananchi Kulinda Kura Vituoni appeared first on Mzalendo.net.
9 years ago
Habarileo03 Oct
NEC yaonya wanaotaka kulinda kura vituoni
TUME ya Taifa ya Uchaguzi (TUME) imeonya vyama vya siasa, vinavyoshawishi wananchi wabaki katika vituo vya kupigia kura baada ya kupiga kura na kueleza kuwa lengo lao si kwa ajili ya kulinda kura, bali vina agenda ya siri.
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/0JM2umRWL9c*h*8t4LGqe0ag3IKBEd2htsFxqBFDbnWCkBvwFV6yeQ*fiJHB85hHaWSJpb9aRxKRauW*2b7h-37QvJcaOrvw/Jaji.jpg)
HILI LA KUBAKI VITUONI KULINDA KURA NI KUINGIZANA CHAKA!
9 years ago
Mzalendo Zanzibar03 Oct
Mwenyekiti wa Tume Ya Uchaguzi Jaji Mstaafu Damian Lubuva Amshangaa MBOWE Kwa Kuhamasisha Vijana Kubaki Vituoni Kulinda Kura
Mwenyekiti wa Tume Damian Lubuva Saturday, October 3, 2015 MWENYEKITI wa Tume ya Taifa Uchaguzi nchini Jaji Mstaafu Damian Lubuva, ameeleza kushangazwa na kauli zinazotolewa na baadhi ya vyama vya siasa wakiwahamasisha wafuasi wao hasa kundi […]
The post Mwenyekiti wa Tume Ya Uchaguzi Jaji Mstaafu Damian Lubuva Amshangaa MBOWE Kwa Kuhamasisha Vijana Kubaki Vituoni Kulinda Kura appeared first on Mzalendo.net.
10 years ago
Dewji Blog11 May
Rais Kikwete: Wekeni waambata kulinda maslahi ya wanafunzi wa Tanzania nje
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete ameielekeza Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa kuhakikisha kuwa Balozi mbali mbali za Tanzania nje ya nchi zinakuwa na Waambata wa Elimu kwa nia ya kukabiliana na kutatua matatizo ya wanafunzi wa Tanzania wanaosoma katika nchi mbali mbali duniani.
Aidha, Rais Kikwete amesema kuwa moja ya wajibu mkubwa wa mabalozi wanaoziwakilisha Tanzania nje ya nchi ni kutetea na kulinda maslahi ya Watanzania walioko...
9 years ago
Mwananchi19 Sep
NEC: Matokeo kura za urais kubandikwa vituoni
9 years ago
Mzalendo Zanzibar30 Sep
Ni Marufuku Kusafirisha Masanduku ya Kura……Tume Yasisitiza Matokeo Yatatangazwa Vituoni, Fomu za Urais Kuskaniwa Jimboni na Kutangazwa LIVE
Wednesday, September 30, 2015 MWENYEKITI wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji Mstaafu Damian Lubuva, amesema kura zote za urais, ubunge na udiwani, zitahesabiwa katika vituo vya kupigia kura na matokeo yote kutangazwa hapo hapo […]
The post Ni Marufuku Kusafirisha Masanduku ya Kura……Tume Yasisitiza Matokeo Yatatangazwa Vituoni, Fomu za Urais Kuskaniwa Jimboni na Kutangazwa LIVE appeared first on Mzalendo.net.