Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


HILI LA KUBAKI VITUONI KULINDA KURA NI KUINGIZANA CHAKA!

JUMAPILI ijayo, baada ya hii ya keshokutwa, Watanzania kwa ujumla wetu, tutakuwa katika vituo mbalimbali vya kupigia kura, tayari kwa zoezi ambalo limetufanya kuwa na presha kubwa kwa miezi kadhaa sasa, kupiga kura. Zoezi hilo kwetu ni muhimu sana kwa sababu ndilo litakaloamua hatima ya maisha yetu kwa kipindi cha miaka mitano ijayo. Ni muda mchache maana miaka mitano iliyopita tulifanya kama hivi, lakini leo tunalia kwa...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mzalendo Zanzibar

Mwenyekiti wa Tume Ya Uchaguzi Jaji Mstaafu Damian Lubuva Amshangaa MBOWE Kwa Kuhamasisha Vijana Kubaki Vituoni Kulinda Kura

Mwenyekiti wa Tume Damian Lubuva Saturday, October 3, 2015 MWENYEKITI wa Tume ya Taifa Uchaguzi nchini Jaji Mstaafu Damian Lubuva, ameeleza kushangazwa na kauli zinazotolewa na baadhi ya vyama vya siasa wakiwahamasisha wafuasi wao hasa kundi […]

The post Mwenyekiti wa Tume Ya Uchaguzi Jaji Mstaafu Damian Lubuva Amshangaa MBOWE Kwa Kuhamasisha Vijana Kubaki Vituoni Kulinda Kura appeared first on Mzalendo.net.

 

9 years ago

Mzalendo Zanzibar

Mbowe Amjibu Rais Kikwete Kuhusu Idadi ya Wapiga Kura na Zuio la Wananchi Kulinda Kura Vituoni

Mwenyekiti wa Chadema, Mh Freeman Thursday, October 15, 2015 Mwenyekiti wa Chadema, mh Freeman Mbowe amemtaka Rais Kikwete kutovuruga amani ya nchi na badala yake amemtaka aondoke madarakani na kuiacha nchi ikiwa salama. Mbowe alitoa kauli […]

The post Mbowe Amjibu Rais Kikwete Kuhusu Idadi ya Wapiga Kura na Zuio la Wananchi Kulinda Kura Vituoni appeared first on Mzalendo.net.

 

9 years ago

Habarileo

NEC yaonya wanaotaka kulinda kura vituoni

TUME ya Taifa ya Uchaguzi (TUME) imeonya vyama vya siasa, vinavyoshawishi wananchi wabaki katika vituo vya kupigia kura baada ya kupiga kura na kueleza kuwa lengo lao si kwa ajili ya kulinda kura, bali vina agenda ya siri.

 

9 years ago

Mwananchi

Rais Kikwete aonya wanaopanga kulinda kura vituoni

Rais Jakaya Kikwete amesema watu wanaopanga kubaki katika vituo vya kupigia kura baada ya kumaliza zoezi hilo kwa lengo la kulinda kura kunaashiria uvunjaji amani, hivyo serikali imejipanga kupambana na hali hiyo siku ya uchaguzi.

 

9 years ago

Mwananchi

NEC: Matokeo kura za urais kubandikwa vituoni

Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imesema kuanzia sasa itaanza kubandika matokeo ya kura za urais kwenye vituo vya kupigia kura katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu ili kuongeza uwazi na kupunguza malalamiko ya wizi wa kura.

 

11 years ago

Tanzania Daima

YVONE CHAKA CHAKA: Mtoto wa kwanza mweusi runingani Afrika Kusini

YVONE  Chaka Chaka ni mwimbaji machachari mwenye sauti nyororo inayosindikizwa na haiba usoni mwake. Alizaliwa katika mji wa Dobsonville huko Soweto, nchini Afrika Kusini mwaka 1965, ambaye aliweka rekodi ya...

 

10 years ago

TheCitizen

Chaka Chaka: Nyerere was real son of African continent

“For me, Mwalimu Nyerere is not the Father of the Nation for Tanzanians only; he is the father of the African Continent,” Ms Chaka-chaka told the media in Arusha yesterday.

 

10 years ago

Bongo5

Yvonne Chaka Chaka kutumbuiza Kenya mwezi huu

Mashabiki wa Kenya mwezi huu watapata nafasi ya kupata burudani kutoka kwa wasanii wawili wakubwa wa Afrika katika show mbili tofauti. Mwanamuziki mkongwe wa Afrika Kusini, Yvonne Chaka Chaka atatumbuiza jijini Nairobi, Kenya katikati ya mwezi huu. Hit maker huyo wa ‘Umqombothi’ atatumbuiza na wasanii wengine wa Kenya akiwemo Nameless kwenye tamasha la ‘Koroga festival’. […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani