RAIS KIKWETE ATANGAZA JUMATATU JANUARI 13, 2014 SIKU YA MAPUMZIKO
![](http://api.ning.com:80/files/BlSO3TVinjkKiLEnGK2cgzohiX86XsYI6If87eKfz*xax23h8iJbYutT-HlpsF70lHeeNFygKPH34d-l*mDqaFb2djsPNN6U/IKULU.jpg?width=650)
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete ametangaza kuwa kesho, Jumatatu, Januari 13, 2014, itakuwa ni Siku ya Mapumziko (Public Holiday) kwa Watanzania wote kusheherekea miaka 50 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar. Rais Kikwete ameutangaza uamuzi huo mjini Zanzibar ambako leo ameungana na Watanzania na Wazanzibari wote kusheherekea miaka 50 ya Mapinduzi Matukufu ya...
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo504 Nov
Kikwete atangaza kesho (Alhamisi) kuwa siku ya mapumziko
![President-Kikwete-of-Tanzania](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/President-Kikwete-of-Tanzania-300x194.jpg)
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete ameamua na ameitangaza kesho, Alhamisi, Novemba 5, mwaka huu, 2015, kuwa Sikukuu na siku ya mapumziko.
Rais Kikwete amefanya uamuzi huo, ili kuwawezesha Watanzania kushiriki katika sherehe za kuhitimisha Uongozi wa Serikali ya Awamu ya Nne na kuingizwa madarakani Mheshimiwa Dkt. John Pombe Joseph Magufuli kuwa Rais wa Tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa Dar es Salaam leo...
9 years ago
GPL![](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2015/11/rais-kikwete1.jpg?width=650)
RAIS JK ATANGAZA KESHO KUWA SIKUKUU NA SIKU YA MAPUMZIKO
9 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-LDRHNssOdPU/VlL_0MSOXHI/AAAAAAAIH-I/4NDLGYREfv0/s72-c/Screen%2BShot%2B2015-11-20%2Bat%2B8.55.15%2BPM.png)
BREAKING NYUZZZZ....: RAIS MAGUFULI ATANGAZA SIKU YA UHURU KUWA SIKU YA KUFANYA KAZI
![](http://2.bp.blogspot.com/-LDRHNssOdPU/VlL_0MSOXHI/AAAAAAAIH-I/4NDLGYREfv0/s640/Screen%2BShot%2B2015-11-20%2Bat%2B8.55.15%2BPM.png)
Kwamba maadhimisho ya Uhuru ya mwaka huu (2015) yatatumika kama kichocheo cha kujenga tabia ya kufanya kazi...
5 years ago
CCM Blog![](https://1.bp.blogspot.com/-4VMRNRbkPgw/XuRXrF1bq0I/AAAAAAACNIg/bR7KihQb1uYRXD-gAD3Fv6h086iCkjIAQCLcBGAsYHQ/s72-c/images.jpeg)
RAIS MAGUFULI ATANGAZA MAOMBOLEZO YA SIKU TATU YA KIFO CHA RAIS NKURUNZIZA WA BURUNDI
![](https://1.bp.blogspot.com/-4VMRNRbkPgw/XuRXrF1bq0I/AAAAAAACNIg/bR7KihQb1uYRXD-gAD3Fv6h086iCkjIAQCLcBGAsYHQ/s400/images.jpeg)
Rais Dk. John Magufuli ametangaza maombolezo ya Kitaifa ya siku tatu kuanzia kesho Juni 13, 2020 kufuatia kifo cha Rais wa Burundi, Pierre Nkurunziza kilichotokea Juni 09, 2020 nchini Burundi.
Taarifa iliyotolewa na Ikulu jijini Dodoma imesema katika kipindi chote cha siku tatu za maombolezo hayo ambayo yataanza leo, hadi keshokuwa bendera zote zitapeperushwa nusu mlingoti.
Taarifa hiyo imesema, Rais Magufuli ameeleza kuwa Tanzania inatoa heshima hiyo kwa kifo...
5 years ago
CCM Blog![](https://1.bp.blogspot.com/-DBjTq9G57iM/XuQ1gu8lV0I/AAAAAAAC7bk/Rx8S1dzCMKogVhVsFMvf5u6-aNQEa9B9ACLcBGAsYHQ/s72-c/5.jpg)
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-ZfyI4Q_LPJ4/XuPeSvLcwNI/AAAAAAALtpI/ErHmkADQ2F4mmt_LgxVc4rx0xHv1Ny3igCLcBGAsYHQ/s72-c/w.jpg)
11 years ago
CloudsFM26 Jul
RAIS KIKWETE MGENI RASMI KWENYE MAADHIMISHO YA SIKU YA KUMBUKUMBU YA MASHUJAA SIKU YA JANA
Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiweka ngao kwenye mnara wakati wa Maadhimisho ya siku ya Kumbukumbu ya Mashujaa iliyofanyika jana katika bustani ya Mnazi mmoja jijini Dar es salaam.
Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Mohamed Ali Shein kwenye Maadhimisho ya siku ya Kumbukumbu ya Mashujaa iliyofanyika katika bustani ya Mnazi mmoja jijini Dar es salaam jana. Wengine ni Makamu wa Rais Dkt Mohamed...
5 years ago
BBCSwahili31 Mar
Coronavirus: Rais wa Uganda Yoweri Museveni atangaza amri ya kutotoka nje kwa siku 14