RAIS KIKWETE AUNGANA NA JUMUIYA YA CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM KUTOA HESHIMA ZA MWISHO KWA BALOZI KAZAURA
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiweka saini katika kitabu cha maombolezo wakati alipowasili kwenye hafla rasmi ya mazishi ya Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es salaam Marehemu Balozi Fulgence Kazaura katika ukumbi wa Nkrumah Chuoni hapo leo February 27, 2014. Nyuma yake ni Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Cha Dar es salaam Profesa Rwekaza Mukandara na Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe saidi Meck Sadick. Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na waombolezaji wengine kwenye hafla rasmi ya mazishi ya Mkuu wa...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPLRAIS KIKWETE AUNGANA NA JUMUIYA YA CHUO KIKUU KUTOA HESHIMA ZA MWISHO KWA MWILI WA BALOZI KAZAURA
11 years ago
Michuzi27 Feb
11 years ago
Dewji Blog13 May
Rais Kikwete atoa heshima za mwisho kwa mwili wa Balozi wa Malawi Dar Es Salaam leo
Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akiweka sahihi katika kitabu cha maombolezo alipokwenda kutoa heshima za mwisho kwa Balozi wa Malawi nchini Tanzania Marehemu Flossy Gomile-Chidyaonga leo katika ukumbi wa mikutano wa kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es salaam.
Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete na Mama Salma Kikwete wakitoa heshima za mwisho kwa Balozi wa Malawi nchini Tanzania Marehemu Flossy Gomile-Chidyaonga leo katika ukumbi wa mikutano wa kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere...
10 years ago
VijimamboRAIS KIKWETE AONGOZA WAOMBOLEZAJI KUTOA HESHIMA ZA MWISHO KWA MWILI WA MAREHEMU DKT WILLIAM SHIJA LEO JIJINI DAR ES SALAAM
10 years ago
Dewji Blog29 Jul
Rais Kikwete atunukiwa shahada ya heshima ya Chuo Kikuu cha Newcastle, Australia
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akishukuru baada ya kutunukiwa shahada ya heshima ya udaktari wa Sheria (Doctor of Laws honorific causa) na Mkuu wa Chuo Kikuu cha Newcastle Bwana Paul Jeans chuoni hapo nchini Australia leo tarehe 29.7.2015 katika ukumbi...
11 years ago
Dewji Blog25 Jul
Jumuiya ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDASA) Imeandaa Kongamano la kujadili mchakato wa kupata Katiba mpya
Jumuiya ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDASA), Imeandaa Kongamano la kujadili mchakato wa kupata Katiba mpya ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Kongamano hilo litafanyika tarehe 27 Julai 2014 siku ya Jumapili kuanzia saa 8 mchana ndani ya ukumbi wa Nkrumah wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam. Kongamano hilo litarushwa moja kwa moja na kituo cha televisheni cha Star TV
Mada kuu ya kongamano hilo ni, “Tujadili na Kutafakari Mchakato wa Katiba Mpya kwa Manufaa ya Taifa Letu”.
Watoa Mada katika...
11 years ago
GPLRAIS KIKWETE NA MKEWE WATOA HESHIMA ZA MWISHO KWA BALOZI WA MALAWI FLOSSIE CHIDYAONGA
10 years ago
VijimamboRAIS KIKWETE AMKABIDHI H.H. THE AGA KHAN HATI YA CHUO KIKUU CHA AGA KHAN KILICHOPO DAR ES SALAAM
10 years ago
GPLRAIS KIKWETE AMKABIDHI H.H. THE AGA KHAN HATI YA CHUO KIKUU CHA AGA KHAN KILICHOPO DAR ES SALAAM