Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Rais Kikwete atunukiwa shahada ya heshima ya Chuo Kikuu cha Newcastle, Australia

n9

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitunukiwa shahada ya heshima ya udaktari wa Sheria (Doctor of Laws honorific causa) na Mkuu wa Chuo Kikuu cha Newcastle Bwana Paul Jeans Chuoni hapo nchini Australia leo tarehe 29.7.2015 katika ukumbi wa chuo hicho.

n10

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akishukuru baada ya kutunukiwa shahada ya heshima ya udaktari wa Sheria (Doctor of Laws honorific causa) na Mkuu wa Chuo Kikuu cha Newcastle Bwana Paul Jeans chuoni hapo nchini Australia leo tarehe 29.7.2015 katika ukumbi...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

P. DIDDY ATUNUKIWA SHAHADA YA HESHIMA CHUO KIKUU CHA HOWARD

Ni furaha tupu siku P. Diddy alipotunukiwa shahada ya heshima katika Chuo Kikuu cha Howard jana jijini Washington DC. Diddy akiwa katika furaha kubwa mbele ya jumuia ya chuo hicho.   Diddy…

 

11 years ago

GPL

MARGARETH SIMALENGA ATUNUKIWA SHAHADA YAKE CHUO KIKUU CHA MZUMBE‏

Margareth Simalenga, akipozi kwa picha mara baada ya kuhitimu shahada ya uzamili katika Uongozi wa biashara (usimamizi wa mashirika) yaani Master in Business Administration (Corporate Management) katika mahafali ya 12 ya Chuo Kikuu cha Mzumbe Cumpas ya Dar es salaam yaliyofanyika hivi karibuni jijini Dar es salaam.…

 

11 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE AUNGANA NA JUMUIYA YA CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM KUTOA HESHIMA ZA MWISHO KWA BALOZI KAZAURA

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiweka saini katika kitabu cha maombolezo wakati alipowasili kwenye hafla rasmi ya mazishi ya Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es salaam Marehemu Balozi Fulgence Kazaura katika ukumbi wa Nkrumah Chuoni hapo leo February 27, 2014. Nyuma yake ni Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Cha Dar es salaam Profesa Rwekaza Mukandara na Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe saidi Meck Sadick. Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na waombolezaji wengine kwenye hafla rasmi ya mazishi ya Mkuu wa...

 

9 years ago

Dewji Blog

Sabina Leonce Komba atunukiwa Shahada yake ya pili katika Uongozi wa Miradi Chuo Kikuu Huria

san2

Sabina Leonce Komba ambaye ni mtumishi wa Mfuko wa Bima ya Afya ya Taifa (NHIF) akipozi kwa picha mara baada ya kutunukiwa Shahada yake ya pili (Masters) ya Uongozi wa Miradi aliyoipata Katika Chuo Kikuu Huria cha Tanzania kwenye mahafali ya 27 ya chuo hicho yaliyofanyika Desemba 16 mwaka huu katika viwanja vya Bungo Kibaha mkoani Pwani.

san3

san4

Sabina Leonce Komba ambaye ni mtumishi wa Mfuko wa Bima ya Afya ya Taifa NHIF akipozi kwa picha na wenzake katika mahafali hayo.

san5

Sabina Leonce Komba...

 

11 years ago

GPL

RAIS KIKWETE AUNGANA NA JUMUIYA YA CHUO KIKUU KUTOA HESHIMA ZA MWISHO KWA MWILI WA BALOZI KAZAURA

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiweka saini katika kitabu cha maombolezo wakati alipowasili kwenye hafla rasmi ya mazishi ya Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es salaam, Marehemu Balozi Fulgence Kazaura katika ukumbi wa Nkrumah Chuoni hapo leo Februari 27, 2014. Nyuma yake ni Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Cha Dar es salaam, Profesa Rwekaza Mukandara na Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Mhe saidi Meck Sadick.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa...

 

10 years ago

BBCSwahili

Kanye atunukiwa shahada ya heshima Chicago

Kanye West ametunukiwa shahada ya heshima na taasisi ya Sanaa ya chuo kikuu cha Chicago.

 

10 years ago

Habarileo

Kikwete aweka historia Chuo Kikuu Australia

RAIS Jakaya Kikwete ametunukiwa shahada ya heshima ya udaktari wa Sheria na Chuo Kikuu cha Newcastle cha nchini Australia, akiwa mkuu wa kwanza wa nchi kutunukiwa shahada hiyo chuoni hapo.Sherehe za kumtunuku Rais shahada hiyo zilifanyika jana katika ukumbi wa Chuo Kikuu cha Newcastle.

 

10 years ago

GPL

KANYE WEST ATUNUKIWA SHAHADA YA UDAKTARI WA HESHIMA

RAPPA Kanye West wa nchini Marekani jana ametunukiwa Shahada ya Udaktari wa Heshima kutoka Taasisi ya Sanaa ya Chicago nchini Marekani. Kanye akitoa hotuba yake katika taasisi hiyo. Kanye West aliyeacha chuo akiwa na umri wa miaka 20 na kuamua kuingia kwenye muziki kisha kutoa albamu yake ya kwanza iliyokwenda kwa jina la 'The College Dropout' kwa sasa atakuwa akiitwa Dk. West. Kanye hakuweza kuficha furaha yake kwa kuachia...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani