Rais Kikwete avishukia vyama vya michezo
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Kikwete amevishutumu vyama vya michezo nchini kwa kushindwa kutekeleza majukumu yao huku vikibaki kulalamika, ambapo amesema anafikiria kuirejesha michezo kwenye taasisi za majeshi ya ulinzi na usalama.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Dewji Blog02 Nov
Vyama vya Siasa kumuaga Rais Kikwete Novemba 3 ukumbi wa JNICC
Msajili wa Vyama vya Siasa nchini Jaji Francis Mutungi akiongea na wajumbe wa Baraza la Vyama vya Siasa (hawapo pichani) wakati wa maandalizi ya hafla ya kumuaga Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Kikwete leo jijini Dar es salaam. Hafla hiyo itafanyika Novemba 03, 2015 katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.
Mhadhiri Mwandamizi wa Chuo Kikuu cha Dar es salaam Dkt. Benson Bana akisistiza jambo wajumbe wa Baraza la Vyama vya Siasa (hawapo...
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-lnGRFojWZEs/UvN-bfn7NOI/AAAAAAAFLNA/W49eOMEI2eg/s72-c/jk3.jpg)
RAIS KIKWETE AFUNGUA MKUTANO WA BARAZA LA VYAMA VYA SIASA JIJINI DAR LEO
![](http://1.bp.blogspot.com/-lnGRFojWZEs/UvN-bfn7NOI/AAAAAAAFLNA/W49eOMEI2eg/s1600/jk3.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-dumy6R-ksF4/UvOBJKTbyLI/AAAAAAAFLOE/K7k5uRjFBF0/s1600/cc6.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-OgqQpH6N-Ck/UvOBJJEfpKI/AAAAAAAFLOA/0sMGkN_PNa0/s1600/cc8.jpg)
11 years ago
GPL08 Feb
11 years ago
Mwananchi25 Jan
Vyama vya michezo vyataka ruzuku
10 years ago
Mwananchi12 Jan
Vyama vya michezo vilivyojipanga 2015
10 years ago
BBCSwahili28 Aug
Vyama sita vya michezo kushtakiwa
10 years ago
Mwananchi01 Sep
Tufanye sensa ya vyama vya michezo nchini