Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


RAIS KIKWETE AZUNGUMZA NA WAZEE WA MKOA WA DODOMA LEO

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na wazee wa mji wa Dodoma leo Oktoba 11, 2014 waliouitisha ili kuzungumza naye maswala kadhaa ya maendeleo.  Ukumbi wa Mikutano wa Mlimani wakati wa  Mazungumzo kati ya RaisJakaya Mrisho Kikwete na  wazee wa mji wa Dodoma leo Oktoba 11, 2014 waliouitisha ili kuzungumza naye maswala kadhaa ya maendeleo.… ...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE AZUNGUMZA NA WAZEE WA MKOA WA DODOMA

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipokea risala toka kwa Mwenyekiti wa Wazee wa Mkoa wa Dodoma Balozi Job Lusinde wakati wa mkutano na wazee wa mji wa Dodoma leo Oktoba 11, 2014 waliouitisha ili kuzungumza naye maswala kadhaa ya maendeleo. Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na wazee wa mji wa Dodoma leo Oktoba 11, 2014 waliouitisha ili kuzungumza naye maswala kadhaa ya maendeleo.Sehemu ya wazee wakati wa mkutano wao na Rais Kikwete mjini Dodoma leo Oktoba 11, 2014 waliouitisha ili kuzungumza...

 

10 years ago

Michuzi

Rais Kikwete akizungumza na Wazee wa Mkoa wa Dar es Salaam leo

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na taifa kupitia Wazee wa Dar es Salaam leo katika ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam.Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Said Meck Sadik na kulia ni katibu wa Baraza la wazee wa Dar es Salaam Mzee Mtulia.Baadhi ya wazee na wananchi wakimsikiliza kwa makini Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete wakati alipokuwa akilihutubia taifa kupitia wazee wa Dar es Salaam katika ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam leo.(picha na Freddy...

 

10 years ago

BBCSwahili

Rais Kikwete azungumza na wazee

Rais Jakaya Kikwete ametengua nafasi ya Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Profesa Anna Tibaijuka kutokana na akaunti ya Tegeta Escrow.

 

9 years ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS MHE. SAMIA SULUHU HASSAN AZUNGUMZA NA VIONGOZI WA DINI WA MKOA WA DODOMA.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Viongozi wa Kamati ya Mahusiano ya Viongozi wa Dini Mkoa wa Dodoma, wakati alipokutana nao kwa mazungumzo kwenye Ukumbi wa Hazina Ndogo mjini Dodoma leo Nov 16, 2015. Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Chiku Galawa (kulia) ni Mwenyekiti wa Kamati ya Mahusiano ya Viongozi wa Dini Mkoa wa Dodoma, Sheikh Ahmad Said Ahmed. Picha na OMRMakamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu...

 

10 years ago

GPL

RAIS KIKWETE AKIZUNGUMZA NA WAZEE WA MKOA WA DAR ES SALAAM

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na taifa kupitia Wazee wa Dar es Salaam jana katika ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam.Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Said Meck Sadik na kulia ni katibu wa Baraza la wazee wa Dar es Salaam Mzee Mtulia.…

 

10 years ago

Vijimambo

TBC KUONESHA LIVE RAIS KIKWETE ANAPOONGEA NA WAZEE WA DODOMA WAKATI WOWOTE KUANZIA SASA

Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania Profesa Jakaya Mrisho Kikwetemchana huu ataanza kuzungumza na Wazee wa Dodoma katika ukumbi waKilimani mjini Dodoma wakati wowote kuanzaia sasa. Usikose kuangaliamazungumzo hayo yatayooneshwa moja kwa moja na TBC One pamoja namtandao wa www.ikulu.go.tz
IMETOLEWA NA KITENGO CHA MAWASILIANO YA RAIS IKULU,
NOVEMBA 4, 2014

 

10 years ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS MHE. DKT. BILAL AWATEMBELEA NA KUWAFARIJI WAZEE WAASISI WA MKOA WA KASKAZINI UNGUJA LEO

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Mzee Machano Mjombo (102) mmoja kati ya Waasisi wa TANU na ASP wakati alipomtembelea kijijini kwake Gamba Mabatini Mkoa wa Kaskazini Unguja kwa ajili ya kumjulia hali leo Januari 07,2015.Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na wanafamilia ya marehemu Mzee MtumwaKassim, wakati alipowatembelea kijijini kwao Gamba Sokoni Mkoa wa Kaskazini...

 

10 years ago

Michuzi

NEWS ALERT: TBC KUONESHA LIVE RAIS KIKWETE ANAPOONGEA NA WAZEE WA DODOMA WAKATI WOWOTE KUANZIA SASA UKUMBI WA KILIMANI


Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania Profesa Jakaya Mrisho Kikwete mchana huu ataanza kuzungumza na Wazee wa Dodoma  katika ukumbi wa Kilimani mjini Dodoma wakati wowote kuanzia sasa. Usikose kuangalia mazungumzo hayo yatayooneshwa moja kwa moja na TBC One pamoja na mtandao wa www.ikulu.go.tz
IMETOLEWA NA KITENGO CHA 
MAWASILIANO YA RAIS IKULU, DAR ES SALAAM
NOVEMBA 4, 2014

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani