Rais Kikwete kuzindua Kituo Cha Michezo Kidongo Chekundu
Rais Kikwete anatarajia kuzindua Kituo Kituo cha Michezo cha Kisasa cha Jakaya M. Kikwete Youth Park (JMK Park), Kidongo Chekundu, Dar es Salaam, kituo cha kwanza cha aina yake nchini chenye kulenga miongoni mwa mambo mengi kuanza kulea wanamichezo tokea wakiwa wadogo.
Hayo yalijitokeza wakati wa mazungumzo kati ya Rais Kikwete na Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Umeme ya Symbion Power, Bwana Paul Hinks(pichani) kwenye Hoteli ya JW Marriot Essex House, mjini New York, Marekani ambako Rais alikuwa...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
9 years ago
MichuziRAIS KIKWETE AFUNGUA KITUO CHA MICHEZO KIDONGO CHEKUNDU
9 years ago
VijimamboRAIS KIKWETE AKAGUA MAENDELEO YA KITUO CHA MICHEZO KWA VIJANA CHA KIDONGO CHEKUNDU DAR ES SALAAM
9 years ago
MichuziTaswira za Kituo cha michezo kwa vijana cha Jakaya Mrisho Kikwete (JMK Youth Sports Centre) Kidongo Chekundu, Dar es salaam
9 years ago
MichuziKituo cha kisasa cha michezo kwa vijana cha JMK cha Kidongo Chekundu kuzinduliwa Oktoba 19, 2015
9 years ago
MichuziJK AKAGUA MAENDELEO YA KITUO CHA MICHEZO KWA VIJANA CHA KIDONGO CHEKUNDU DAR ES SALAAM
9 years ago
Dewji Blog20 Oct
Rais Kikwete afungua kituo cha Michezo Kidogo Chekundu jijini Dar es Salaam
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akitoa hotuba yake wakati wa Ufunguzi wa Kituo cha michezo cha Jakaya M.Kikwete Youth park huko Kidongo Chekundu jijini Dar es Salaam.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa amembeba mtoto wakati wa Sherehe za ufunguzi wa kituo cha michezo cha Jakaya M.Kikwete Youth park huko kidongo Chekundu jijini Dar es Salaam.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akikata utepe kuzindua rasmi kituo cha michezo cha Jakaya M.Kikwete Youth park huko Kidongo Chekundu jijini Dar...
10 years ago
Dewji Blog31 Oct
Profesa Kikwete Mgeni rasmi ujenzi kituo cha michezo Kindongo Chekundu
Na Mwandishi wetu_MAELEZO-Dar es salaam
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Profesa Jakaya Mrisho Kikwete anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika sherehe za uzinduzi wa ujenzi wa kituo cha michezo katika eneo la Kidongo Chekundi jijini Dar es salaam.
Kituo cha michezo kinajengwa kwa ufadhili wa Klabu ya Sunderland kwa kushirikiana na Symbion Power na Serikali ya Tanzania.
Shehere hizo zinatarajiwa kesho asubuhi (Jumamosi tarehe 1 Novemba 2014) kuanzia majira ya saa mbili asubuhi.
Kwa...
9 years ago
Mwananchi01 Oct
Rais Kikwete kufungua kituo cha kisasa cha michezo
9 years ago
Habarileo17 Oct
JK kuzindua kituo cha michezo leo
RAIS Jakaya Kikwete leo anatarajiwa kuzindua kituo kipya cha michezo mbalimbali kitakachoitwa Jakaya M. Kikwete Youth Park (JMK Park) kilichopo kidongo Chekundu jijini Dar es Salam.