Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


RAIS KIKWETE ZIARANI NCHINI FINLAND

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipata mapokezi Rasmi kutoka kwa mwenyeji wake, Rais wa Finland Mhe. Sauli Niinisto.Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimtambulisha mwenyeji wake, Rais wa Finland Mhe. Sauli Niinisto kwa ujumbe alioambatana nao Ikulu ya Finland.Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika mazungumzo na mwenyeji wake, Rais wa Finland Mhe. Sauli Niinisto.
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

RAIS KIKWETE ZIARANI FINLAND

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na Balozi Dorah Msechu katika uwanja wa ndege wa Helsinki alipowasili tayari kwa ziara ya siku tatu ya nchi hiyo Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na Balozi wa FinladDorah Msechu katika uwanja wa ndege wa Helsinki alipowasili tayari kwa ziara ya siku tatu ya nchi hiyo…

 

10 years ago

Dewji Blog

Ziara ya Rais Kikwete nchini Finland na Sweden

fin (1)

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akikutana na kufanya mazungumzo na Spika wa Bunge la nchi ya Finland Mhe Maria Lohela siku alipotembelea bunge la nchi hiyo.

fin (2)

fin (3)

fin (4)

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akifanya mahojiano na wanahabari jijini Helsinki, Finland.

fin (5)

fin (7)

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akigonganisha glasi na Mari Kiviniemi, Waziri wa Masuala ya Nje wa Finland wakati wa dhifa iliyoandaliwa kwa hashima yake jijini Helsinki.

fin (8)

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na mabalozi wa sasa na wa zamani waliopata...

 

10 years ago

GPL

ZIARA YA RAIS KIKWETE NCHINI FINLAND NA SWEDEN‏

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akikutana na kufanya mazungumzomna Spika wa Bunge la Finland Mhe. Maria Lohela siku alipotembelea bunge la nchi hiyo. Rais Jakaya Mrisho Kikwete akifanya mahojiano na wanahabari jijini Helsinki, Finland.…

 

10 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE ZIARANI NCHINI MAREKANI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete ameondoka nchini usiku wa jana, Jumatatu, Septemba 15, 2014, kuanza ziara ya wiki mbili katika Marekani ambapo atahutubia Mkutano wa 69 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa (UN General Assembly) New York.
Mbali na kuhutubia Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa mjini New York, Rais Kikwete pia atahudhuria mikutano muhimu katika mji mkuu wa Marekani, Washington, D.C.
Mjini New York, Rais Kikwete atashiriki katika mikutano...

 

10 years ago

Michuzi

TASWIRA MBALIMBALI ZA ZIARA YA RAIS KIKWETE NCHINI FINLAND NA SWEDEN

  Rais Jakaya Mrisho Kikwete akikutana na kufanya mazungumzomna Spika wa Bunge la nchi ya Finland Mhe Maria Lohela siku alipotembelea bunge la nchi hiyo. Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na mabalozi wa sasa na wa zamani waliopata kuiwakilisha Finland nchini Tanzania. Kulia ni Balozi wa Tanzania nchini humo, Balozi Dorah Msechu. Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na Spika wa Bunge la Sweden Mhe Urban Ahlin alipotembelea Bunge la nchi hiyo jijini Stockholm.

BOFYA HAPA KWA PICHA...

 

10 years ago

Michuzi

Mameya na Wakurugenzi wa majiji sita ya Tanzania ziarani nchini Finland

Mameya na Wakurugenzi wa majiji sita ya Tanzania walioko katika ziara ya mafunzo nchini Finland wakiwa katika picha ya pamoja na Naibu Meya wa jiji la Helsinki,Hannu Pentila muda mfupi baada ya viongozi hao kutembelea mradi wa ujenzi wa mji wa kisasa wa Kalasatama katika jiji hilo la Helsinki.Ujumbe wa Mameya na Wakurugenzi kutoka majiji sita ya Tanzania ukitembelea mradi wa ujenzi wa nyumba za kisasa katika mji wa Kalasatama jijini Helsiniki nchini Finland.Lisa Tervo kushoto kutoka Taasisi...

 

11 years ago

Michuzi

Rais Kikwete ziarani Nyasa

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akifunua kitambaa katika jiwe la msingi wakati wa sherehe za uzinduzi rasmi wa Daraja la Ruhekei zilizofanyika katika kijiji cha Mkaole wilaya ya Nyasa Mkoani Ruvuma leo.Kushoto ni Waziri wa Ujenzi Dkt.John Pombe Magufuli. Daraja la Ruhekei lililozinduiwa rasmi leo na Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete katika kijiji cha Mkaole wilyani Nyasa mkoani Ruvuma leo. Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwapungia mamia ya wakazi wa mji Songea wakati alipoingia katika uwanja...

 

10 years ago

Habarileo

Rais Kikwete ziarani Ulaya

Rais Jakaya KikweteRAIS Jakaya Kikwete jana alianza ziara rasmi ya wiki moja katika nchi tatu za Ulaya kwa mwaliko wa viongozi wa nchi hizo.

 

11 years ago

Michuzi

Rais Kikwete Ziarani Karatu

Wanafunzi wa Shule ya Sekondari Karatu wakimkaribisha kwa shangwe Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete wakati alipowasili mjini humo ambapo alifungua jengo la Halmashauri ya wilaya ya Karatu. Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kkwete akisalimiana na baadhi ya wananchi wa Karatu muda mfupi baada ya kuwasili mjini hapo ambapo alifungua jengo la Halmashauri,Kufungua jengo la TRA wilaya na kuzindua mradi wa maji. Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiteta na mtoto mwenye ulemavu Meshack Amos kutoka katika...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani