Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


RAIS MAGUFULI AFANYA ZIARA YA KUSTUKIZA UJENZI WA MSIKITI WA BAKWATA KINONDONI

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akikagua makabati maalumu kwa ajili ya kuwekea viatu vya waumini wakati wa swala alipofanya ziara ya kustukiza kukagua maendeleo ya Ujenzi wa Msikiti wa Bakwata unaojengwa kwa ufadhili wa Mfalme Mohamed wa Sita wa Morocco Kinondoni jijini Dar es salaam leo Ijumaa 28, 2020Muonekano wa Msikiti huo

CCM Blog

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

RAIS DKT MAGUFULI AFANYA ZIARA YA KUSTUKIZA KUKAGUA MAENDELEO YA UJENZI WA MSIKITI WA BAKWATA KINONDONI DAR ES SALAAM

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akikagua makabati maalumu kwa ajili ya kuwekea viatu vya waumini wakati wa swala alipofanya ziara ya kustukiza kukagua maendeleo ya Ujenzi wa Msikiti wa Bakwata unaojengwa kwa ufadhili wa Mfalme Mohamed wa Sita wa Morocco Kinondoni jijini Dar es salaam leo Ijumaa 28, 2020  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akishiriki katika dua na Mufti Mkuu wa Tanzania Sheikh Abubakary Zubeiry Bin Ally na...

 

5 years ago

CCM Blog

RAIS DK. MAGUFULI AKAGUA LEO UJENZI WA MSIKITI UTAKAOKUWA MKUBWA KULIKO YOTE TANZANIA

Rais Dk John Magufuli akiwa na Mufti Mkuu wa Tanzania Sheikh Abubakary Zubeiry Bin Ally na viongozi wengine waandamizi wa Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) wakati akikagua Ujenzi wa Msikiti wa Bakwata unaojengwa kwa ufadhili wa Mfalme Mohamed wa Sita wa Morocco, Kinondoni jijini Dar es Salaam leo



Ikulu Dar es Salaam
Rais Dk. John Magufuli leo amekagua maendeleo ya ujenzi wa Msikiti wa Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) unaojengwa Kinondoni Jijini Dar es Salaam ambao utakuwa...

 

9 years ago

Michuzi

Rais Magufuli afanya Ziara ya Kushtukiza Hazina

Rais Dkt.John Pombe Magufuli akisaini kitabu cha wageni muda mfupi baada ya kuwasili katika makao makuu ya Wizara ya Fedha(HAZINA) kwa ziara ya kushtukiza leo mchana.Kulia ni Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Dkt.Servacius Likwelile.Rais Magufuli alitembelea na kukagua ofisi zote wizarani hapo na kisha kuongea na viongozi waandamizi. Rais Dkt.John Pombe Magufuli akiwa na wafanyakazi wawili wa Wizara ya Fedha ambao ni walemavu Bwana Fundi Maruma na Frank Mkyama wakati Rais alipofanya ziara ya...

 

11 years ago

Dewji Blog

Makamu wa Rais afanya ziara ya kukagua athari za mafuriko Dar na maendeleo ya Ujenzi wa Daraja la Mpiji

01

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akionyeshwa na Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Eng. Mussa Iombe, sehemu ya Daraja la Mpiji linalounganisha Bagamoyo na Dar es Salaam, lililokatika kutokana na mvua kubwa zinazoendelea kunyesha nchini, wakati Makamu alipofanya ziara hiyo ya kujionea maendeleo ya ujenzi wa daraja hilo leo Aprili 13, 2014. (Picha na OMR).

1

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana...

 

9 years ago

GPL

HAPA KAZI TU: RAIS JOHN POMBE MAGUFULI AFANYA ZIARA YA GHAFLA WIZARA YA FEDHA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,  Dk.John Pombe Magufuli akisani kitabu cha wageni baada ya kufika Wizara ya Fedha. ...Akikagua utendaji kazi wa wafanyakazi mbali mbali wizarani hapo. …

 

10 years ago

Michuzi

MKUU WA WILAYA KINONDONI AFANYA ZIARA HOSPITALI YA MWANANYAMALA NA PALESTINA LEO

Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni,Paul Makonda akisikiliza maelekezo kutoka kwa Daktari Hawa  Omary wa Hospitali ya Mwananyamala Jiji Dar es Salaam leo,wakati alipotembelea kuoa maendeleo ya Hospitali hiyo.Wa pili kulia ni Mganga Mkuu wa Hospitali hiyo,Dkt. Sophinias Ngonyani.Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni,Paul Makonda akizungumza na wananchi waliofika katika Hospitali ya Rufaa ya Mwanyamala kupatiwa huduma ya matibabu,leo jijini Dar es Salaam.Kulia ni Mganga Mkuu wa Hospitali hiyo,Dkt. Sophinias...

 

10 years ago

Michuzi

Waziri wa Ujenzi Afanya ziara Mkoani Mbeya

Waziri wa Ujenzi Mheshimiwa Dkt. John Magufuli akizungumza na Mkuu wa Wilaya ya Ileje Bi Rosemary Sitaki Sinyamule wakati wa Ukaguzi wa daraja la mto Songwe linalounganisha Wilaya ya Ileje na nchi ya Malawi.Waziri wa Ujenzi Dkt. John Magufuli katikati akikata utepe kuashiria ufunguzi wa barabara ya Isongole-Itumba km 9 katika Wilaya ya Ileje Mkoani Mbeya. Kulia ni Mbunge wa Ileje Mheshimiwa Aliko Kibona. Wengine ni Mkuu wa Wilaya ya Ileje Bi Rosemary Sitaki Sinyamule, Katibu Mkuu wa Wizara...

 

10 years ago

Dewji Blog

Mkuu wa wilaya Kinondoni afanya ziara hospitali ya Mwananyamala na Palestina kuangalia utendaji wake

Mkuu wa wilaya ya Kinondoni Paul Makonda akiongea na Mganga Mkuu wa Hospitali ya Palestina, Dkt. Benedicto Luoga iliyopo Sinza jijini Dar es Salaama mara baada ya kufanya ziara ya kushtukiza jana kuangalia jinsi utendaji wake wa Kazi. Pembeni ni Katibu Tawala wa Manispaa ya Kinondoni.

Mkuu wa wilaya ya Kinondoni Paul Makonda akisaini kitabu cha wageni mara baada ya kufanya ziara ya kushtukiza katika Hospitali ya Palestina iliyopo Sinza jijini Dar es Salaam kuangalia jinsi utendaji wake...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani