Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


RAIS MAGUFULI AWEKA REKODI MPYA NAKALE




……………………………………………………………………
Na Mwandishi wetu Mihambwe 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli ameweka rekodi mpya isiyofutika kwa Wanakijiji cha Nakale ambapo tangu wapate Uhuru hawajawahi kuwa na umeme lakini leo hii umeme umewaka kwa mara ya kwanza. Wanakijiji hao wa Nakale kilichopo kata ya Mihambwe wamefurahi kupata umeme wa REA kwani hawakutarajia kabisa na ni mshangao kwao. 
“Tangu tupate Uhuru nilikuwa sitegemei kabisa Kijiji chetu cha Nakale kupata umeme, Mimi...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Dewji Blog

Ronaldo ajivunjia rekodi, aweka rekodi mpya

IGxwi

Na Rabi Hume, Modewjiblog

Mchezaji bora wa dunia mwaka 2014 na mshambuliaji wa Real Madrid, Cristiano Ronaldo (pichani)ameweka rekodi mpya katika mashindano ya Ligi ya Mabingwa Ulaya UEFA baada ya hapo jana kufunga goli 4 katika mchezo kati ya Real na Malmo.

Magoli ya Ronaldo yalifungwa katika dakika ya 39, 47, 50 na 58 na kufanikiwa kufikisha magoli 11 katika michezo ya makundi rekodi ambayo ilikuwa haijawahi kufikiwa na mchezaji yoyote.

Kabla ya kuweka rekodi hiyo mpya, Ronaldo alikuwa na...

 

10 years ago

Habarileo

Magufuli aweka rekodi

MAELFU ya watu wanaokwenda katika mikutano ya mgombea urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk John Magufuli imeanza kusimamisha shughuli za miji mbalimbali anayokwenda.

 

9 years ago

Michuzi

Dar Live na Shangwe za Kuukaribisha Mwaka Mpya 2016, Christian Bella Aweka Rekodi Mpya!

bella (69)Bella akicheza na mashabiki wakebella (71)bella (73)Shoo ikinogabella (74)Bella na mashabiki jukwaanibella (75)Mashabiki wakizidi kupagwa.PICHA NA MUSA MATEJA/GPLKwa picha zaidiBOFA HAPA pia BOFYA HAPA

 

10 years ago

Habarileo

Dk Magufuli aweka rekodi Mwanza

MGOMBEA urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk John Magufuli, amefanya mkutano mkubwa na wa kihistoria katika Jiji la Mwanza na kuahidi kuubadilisha mji huo kuwa mithili ya ule wa Geneva wa nchini Uswisi.

 

11 years ago

BBCSwahili

Mkenya aweka rekodi mpya ya Marathon

Mwanariadha wa Kenya Dennis Kimeto amevunja rekodi ya dunia katika mbio za Marathon mapema leo mjini Berlin nchini Ujerumani.

 

11 years ago

Vijimambo

Mkenya aweka rekodi mpya ya Mbio



Mwanariadha Wilson Kipsang ashinda mbio za Berlin Marathon mwaka uliopitaMwanariadha wa Kenya Dennis Kimeto amevunja rekodi ya dunia katika mbio za Marathon zilizondaliwa mapema leo mjini Berlin nchini Ujerumani.Mwanariadha huyo mwenye umri wa miaka 30 alishinda mbio hizo kwa muda wa saa mbili,dakika na sekunde 57 ambapo aliivunja rekodi ya awali kwa sekunde sita

Rekodi ya awali iliwekwa na mkenya mwenzake Wilson Kipsang katika mbio hizo mwaka uliopita.

 

10 years ago

Bongo5

Yemi Alade aweka rekodi mpya ya Youtube

yemi-aladeBaada ya P-Square kuweka rekodi ya kuwa wasanii wa kwanza wa Nigeria kufikisha views milioni 30 Youtube kupitia video yao ya ‘Personally’ mwezi November 2014, na baadaye kuivunja rekodi yao wenyewe kwa video hiyo kufikisha views milioni 40 mwezi April 2015, msanii Yemi Alade naye ameweka rekodi kama hiyo kwa wasanii wa kike. Yemi Alade […]

 

10 years ago

Mtanzania

Ronaldo aweka rekodi mpya Real Madrid

ronaldo_2477234bMADRID, HISPANIA

STAA wa timu ya Real Madrid, Cristiano Ronaldo, ni rasmi sasa amekuwa mfungaji bora wa muda wote wa klabu hiyo akifunga mabao 324 kwenye mechi 310.

Rekodi hiyo ameiweka juzi alipofunga bao moja wakati wakiilaza Levante mabao 3-0, mengine yakifungwa na Jesena Marcelo.

Tayari Real Madrid ilikuwa ikimtambua Ronaldo kuweka rekodi hiyo kabla ya mchezo huo, wakihesabia bao la faulo alilofunga dhidi ya Malmo mwaka 2010 lililombabatiza Pepe na kujaa wavuni, limeshampa tuzo ya kiatu...

 

9 years ago

Global Publishers

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani