Rais Magufuli tutengenezee mifumo - Zitto
Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe amemshauri Rais John Magufuli kutengeneza mfumo utakaowalazimisha watumishi wa umma kuwajibika badala ya kuvamia maofisini na kuwawajibisha.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
5 years ago
MichuziRAIS MAGUFULI: SERIKALI ITAENDELEA KUIMARISHA NA KUBORESHA MIFUMO NA MIUNDOMBINU YA UTOAJI HUDUMA YA AFYA NCHINI
RAIS Dkt. John Magufuli amesema katika kipindi cha miaka minne ya utawala wake, Serikali imeweza kuajiri watumishi wapya 13479 wa sekta ya afya sambamba na kuimarisha na kuboresha miundombinu ya huduma za afya za ikiwemo ujenzi na ukarabati wa zahanati, vituo vya afya na hospitali za wilaya katika maeneo mbalimbali nchini.
Akizungumza leo Alhamisi (Februari 20, 2020) Jijini Dar es Salaam katika maadhimisho ya siku ya Madaktari Tanzania, Rais Magufuli alisema Serikali ya Awamu ya Tano...
9 years ago
GPLZITTO AMTWISHA MAGUFULI MAMBO 10
Mbunge Mteule wa Kigoma Mjini kupitia chama cha ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe. Mbunge Mteule wa Kigoma Mjini kupitia chama cha ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe, ameelezea mambo 10 ambayo Rais Dk. John Magufuli, anapaswa kuyafanya ili kuweka misingi ya mabadiliko nchini. Moja ya mambo ambayo ameandika kwenye waraka wake jana, Zitto amemshauri Rais Dk. Magufuli kuweka wazi mikataba yote ya rasilimali za nchi. "Kuna wakati Thomas...
9 years ago
Mwananchi11 Nov
Zitto ampasha Dk Magufuli mambo 14
Wakati Rais John Magufuli akianza kuchukua hatua za kudhibiti matumizi ya Serikali, wasomi na wanasiasa wamemtajia mambo 14 ambayo wamesema akiyazingatia atalinusuru Taifa dhidi ya gharama zisizo za lazima.
5 years ago
MichuziMAKAMU WA RAIS MHE. SAMIA AMUWAKILISHA RAIS MAGUFULI KWENYE KUAPISHWA RAIS MPYA WA BURUNDI
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Bujumbura Nchini Burundi kwa ajili ya kumuwaklilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli kwenye shughuli ya kuapishwa Rais Mpya wa Burundi Mhe. Evariste Ndayishimiye leo Juni 18,2020. Kushoto ni Makamu wa Rais wa Burundi Mhe. Gasten Sindimwa.Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan...
9 years ago
TheCitizen11 Nov
Zitto to Magufuli: Do this to bring positive change
Kigoma Urban MP-elect Zitto Kabwe says President John Magufuli needs to work on ten issues to bring about positive change in the country.
9 years ago
Mwananchi22 Nov
Zitto: ACT - Wazalando itashirikiana na Magufuli
Mbunge wa Kigoma Mjini, Zitto Kabwe amesema chama cha ACT-Wazalendo kitashirikiana na Rais John Magufuli katika vita dhidi ya ufisadi.
9 years ago
AllAfrica.Com11 Nov
Zitto to Magufuli - Do This to Bring Positive Change
Zitto to Magufuli - Do This to Bring Positive Change
AllAfrica.com
Dar es Salaam — Kigoma Urban MP-elect Zitto Kabwe says President John Magufuli needs to work on ten issues to bring about positive change in the country. Mr Kabwe, who is also the ACT-Wazalendo party leader, said yesterday that Dr Magufuli could ...
9 years ago
TheCitizen24 Sep
Zitto calls out Lowassa, Magufuli on false promises
Zitto expressed disapproval of the manner in which both presidential hopefuls are running their campaigns while knowing full well it is near impossible for them to honor their pledges.
9 years ago
TheCitizen25 Sep
Zitto accuses Lowassa, Magufuli of deceiving voters
ACT-Wazalendo party leader Zitto Kabwe has accused presidential hopefuls John Magufuli of CCM and Edward Lowassa of Chadema of deceiving voters in their campaigns.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania