Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


ZITTO AMTWISHA MAGUFULI MAMBO 10

Mbunge Mteule wa Kigoma Mjini kupitia chama cha ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe. Mbunge Mteule wa Kigoma Mjini kupitia chama cha ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe, ameelezea mambo 10 ambayo Rais Dk. John Magufuli, anapaswa kuyafanya ili kuweka misingi ya mabadiliko nchini. Moja ya mambo ambayo ameandika kwenye waraka wake jana, Zitto amemshauri Rais Dk. Magufuli kuweka wazi mikataba yote  ya rasilimali za nchi.   "Kuna wakati Thomas...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

Zitto ampasha Dk Magufuli mambo 14

Wakati Rais John Magufuli akianza kuchukua hatua za kudhibiti matumizi ya Serikali, wasomi na wanasiasa wamemtajia mambo 14 ambayo wamesema akiyazingatia atalinusuru Taifa dhidi ya gharama zisizo za lazima.

 

10 years ago

Mwananchi

JK amtwisha zigo Rais mpya

Mwanza. Wafanyakazi jana walimsomea Rais Jakaya Kiwete madai 11 wanayomtaka awatimizie kabla ya kumaliza muda wake Oktoba, lakini mkuu huyo wa nchi amesema ataishia pale atakapoweza na kumuachia mrithi wake kazi ya kushughulikia mengine.

 

5 years ago

CCM Blog

ZITTO KABWE AHUKUMIWA KUTOONGEA MAMBO YA UCHOCHEZI MWAKA MMOJA


Na Karama Kenyunko Michuzi TV MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imemuhukumu Mbunge wa jimbo la Kigoma Mjini kwa tiketi ya ACT Wazalendo Ztitto Kabwe, kutotoa na kutoandika maneno ya uchochezi kwa muda wa mwaka mmoja.
Zitto amehukumiwa leo mahakamani hapo baada ya kutiwa hatiani katika mashitaka matatu yaliyokuwa yanamkabili.
Hukumu hiyo imesomwa leo Mei 29, 2020 na Hakimu Mkazi Mkuu Huruma Shaidi baada ya kuridhika na ushahidi wa mashahidi 15 wa upande wa mashtaka na kuzingatia utetezi wa Zitto...

 

11 years ago

Mwananchi

Kocha Maximo amtwisha Nsajigwa zigo la Kagame

>Katika hali inayoonekana kuwa na hofu ya  kuchafua rekodi yake mapema Kocha mkuu wa Yanga, Marcio Maximo ameikacha  michuano ya Kagame kwa kumpa jukumu kocha wa timu ya vijana, Shadrack Nsajigwa ‘Fuso’  kuhakikisha anarudi na ubingwa wa Kombe la Kagame.

 

9 years ago

Mwananchi

Zitto: ACT - Wazalando itashirikiana na Magufuli

Mbunge wa Kigoma Mjini, Zitto Kabwe amesema chama cha ACT-Wazalendo kitashirikiana na Rais John Magufuli katika vita dhidi ya ufisadi.

 

9 years ago

Mwananchi

Rais Magufuli tutengenezee mifumo - Zitto

Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe amemshauri Rais  John Magufuli kutengeneza mfumo utakaowalazimisha watumishi wa umma kuwajibika  badala ya kuvamia maofisini na kuwawajibisha.

 

9 years ago

AllAfrica.Com

Zitto to Magufuli - Do This to Bring Positive Change


Zitto to Magufuli - Do This to Bring Positive Change
AllAfrica.com
Dar es Salaam — Kigoma Urban MP-elect Zitto Kabwe says President John Magufuli needs to work on ten issues to bring about positive change in the country. Mr Kabwe, who is also the ACT-Wazalendo party leader, said yesterday that Dr Magufuli could ...

 

9 years ago

TheCitizen

Zitto to Magufuli: Do this to bring positive change

Kigoma Urban MP-elect Zitto Kabwe says President John Magufuli needs to work on ten issues to bring about positive change in the country.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani