Rais Mstaafu Jakaya Mrisho Kikwete atunukiwa Heshima ya Companion Award na Commonwealth Partnership for Technological Management (CPTM)
![](http://1.bp.blogspot.com/-6Ysr6DL3jO4/VmJ6pFk4dgI/AAAAAAAIKQ4/1WBqMx_XT0E/s72-c/39b5ceaa-6dcd-4c0d-8eb2-ee91b75e5c83.jpg)
Taasisi ya Commonwealth Partnership for Technological Management (CPTM) inayojishughulisha na kukuza ushirikiano katika nyanja ya sayansi na teknolojia kwa nchi za Jumuiya ya Madola, imemtunuku Rais Mstaafu Jakaya Mrisho Kikwete, heshima ya Juu ya CPTM (Companion Award) kwa kutambua mchango wake katika kuhamasisha ukuaji wa matumizi ya sayansi na teknolojia ikiwemo matumizi ya huduma za fedha kwa njia ya simu. Rais Mstaafu Kikwete, alikabidhiwa Tuzo hiyo tarehe 1 Desemba, 2015. Taasisi hiyo...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/nD54_i88gds/default.jpg)
9 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-EDwYhZoCrDw/VmOPA_wZA1I/AAAAAAAIKX8/hhxviTuHckA/s72-c/9efabef2-3939-4066-aa78-e3051dcdf6c5.jpg)
Rais Mstaafu Jakaya Mrisho Kikwete akutana na Mwenyekiti wa Kamisheni wa Umoja wa Afrika na Waziri wa Mambo ya nje wa Libya
![](http://3.bp.blogspot.com/-EDwYhZoCrDw/VmOPA_wZA1I/AAAAAAAIKX8/hhxviTuHckA/s640/9efabef2-3939-4066-aa78-e3051dcdf6c5.jpg)
Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne na Mjumbe Maalum wa Umoja wa Afrika nchini Comoro Leo amekutana na Mwenyekiti wa Kamisheni ya Umoja wa Africa, Mheshimiwa Dkt. Nkosazana Dlamini Zuma kuzungumzia hail ya siasa nchini Comoro. Katika Mkutano huo, Rais Mstaafu Jakaya Kikwete aliwasilisha taarifa ya ziara maalum aliyoifanya Comoro tarehe 1 Desemba, 2015.
![](http://3.bp.blogspot.com/-xtFhM9sboHE/VmOQHS_bcUI/AAAAAAAIKYE/4zbx45CH150/s640/3d5cdbc8-a866-4bb5-b32d-4d0bce922a61.jpg)
Rais Mstaafu Jakaya Mrisho Kikwete amekutana na Waziri wa Mambo ya Nje wa Libya, Mheshimiwa Mohammed Al-Dairi aliyemtembelea na kufanya nae...
9 years ago
Dewji Blog12 Nov
Rais Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akabidhiwa rasmi ofisi na Rais mstaafu wa awamu ya nne Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete leo Ikulu, Dar
![](http://3.bp.blogspot.com/-tgNcoF9ufak/VkSPy6o24LI/AAAAAAAIFdo/DC7CsZoc1B0/s640/jpJK%2B%25281%2529.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-Jac6XOpCQ8g/VkSPy-I5yNI/AAAAAAAIFds/kwff6srFcjM/s640/jpJK%2B%25282%2529.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-X2j3mXwwlBQ/VkSQRrOdHAI/AAAAAAAIFd8/hheeKoqrIMk/s640/jpJK%2B%25283%2529.jpg)
9 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/RwNp_aJnH9o/default.jpg)
RAIS DKT JOHN POMBE JOSEPH MAGUFULI AKABIDHIWA RASMI OFISI NA RAIS MSTAAFU WA AWAMU YA NNE DKT JAKAYA MRISHO KIKWETE LEO IKULU, DAR ES SALAAM
![](http://3.bp.blogspot.com/-tgNcoF9ufak/VkSPy6o24LI/AAAAAAAIFdo/DC7CsZoc1B0/s640/jpJK%2B%25281%2529.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-Jac6XOpCQ8g/VkSPy-I5yNI/AAAAAAAIFds/kwff6srFcjM/s640/jpJK%2B%25282%2529.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-X2j3mXwwlBQ/VkSQRrOdHAI/AAAAAAAIFd8/hheeKoqrIMk/s640/jpJK%2B%25283%2529.jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-hSHVlrIwNLM/VRbgQs3ydgI/AAAAAAAHN5o/O8AJPefRrLo/s72-c/_MG_6315.jpg)
RAIS WA ZIMBABWE ROBERTY MUGABE AFUNGUA KONGAMANO LA VIJANA AFRIKA NA CHINA,RAIS KIKWETE ATUNUKIWA TUZO YA HESHIMA .
![](http://4.bp.blogspot.com/-hSHVlrIwNLM/VRbgQs3ydgI/AAAAAAAHN5o/O8AJPefRrLo/s1600/_MG_6315.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-w_qQH8e8P1E/VRbgPh0cAvI/AAAAAAAHN5g/1Zv8BQkIGFc/s1600/_MG_6291.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-BjbF-KM_Q-4/VRbVSuxesGI/AAAAAAAC2eM/l86bvXxpXAk/s1600/_MG_6213.jpg)
10 years ago
Dewji Blog29 Jul
Rais Kikwete atunukiwa shahada ya heshima ya Chuo Kikuu cha Newcastle, Australia
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akishukuru baada ya kutunukiwa shahada ya heshima ya udaktari wa Sheria (Doctor of Laws honorific causa) na Mkuu wa Chuo Kikuu cha Newcastle Bwana Paul Jeans chuoni hapo nchini Australia leo tarehe 29.7.2015 katika ukumbi...
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/4T6v6n78NRY/default.jpg)
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/nkLEPVQ6s9diOBwscjxgRkHeCkuVGnhbxs1y0OyR3hs1zEkA6N7lvhNQKJ*H04AcV*FBXvuOSCppiPYEwN2Y3qYDOsLme6Jm/image29.jpg?width=650)
HAPPY BIRTHDAY RAIS WETU JAKAYA MRISHO KIKWETE
9 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-1J6ozF4V_Jw/VffRpya8u-I/AAAAAAAH468/tapS5OD2Lbs/s72-c/images.jpg)
RAIS JAKAYA MRISHO KIKWETE ZIARANI MKOA WA KIGOMA
THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA
DIRECTORATE OF PRESIDENTIAL COMMUNICATIONS
![](http://2.bp.blogspot.com/-1J6ozF4V_Jw/VffRpya8u-I/AAAAAAAH468/tapS5OD2Lbs/s200/images.jpg)
PRESIDENT’S OFFICE, STATE HOUSE, 1 BARACK OBAMA ROAD, 11400 DAR ES SALAAM.Tanzania.
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Serikali ya Awamu ya nne inayomaliza muda wake mwezi Octoba mwaka huu, imeyashughulikia matatizo yaliyokuwepo kwa kiasi kikubwa na yale...