Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


RAIS NYUSSI AKUTANA NA RAIA WA MOZAMBIQUE WANAOISHI TANZANIA

Rais wa Mozambique, Filipe Nyussi akiangalia vikundi vya ngoma.Raia wa Msumbiji akifuatilia kwa makini hotuba ya Rais wa nchi hiyo alipokutana na wananchi wa Msumbiji wanaoishi Tanzania katika ukumbi wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam. (Picha na Francis Dande) Rais Filipe Nyussi akiwasalimia wananchi wa Mozambique waishio Tanzania.
 Wananchi wa Mozambique wanaoishi Tanzania wakiwa katika mkutano na Rais wa nchi yao, Filipe Nyussi ambaye yupo Tanzania kwa ziara ya siku tatu.Rais Filipe...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

MO akutana na Rais Filipe Nyusi wa Mozambique jijini Dar

IMG-20150518-WA0054

CEO wa Makampuni ya MeTL Group na Mbunge wa Jimbo la Singida mjini, Mh. Mohammed Dewji (kulia) katika picha ya pamoja na Rais wa Mozambique, Mh. Filipe Nyusi walipokutana jijini Dar es Salaam. Rais huyo anayefanya ziara yake ya kwanza nje ya nchi kama Rais wa Msumbiji yuko katika ziara rasmi ya siku tatu nchini Tanzania.

 

11 years ago

Michuzi

BALOZI WA TANZANIA UBELGIJI AKUTANA NA WATANZANIA WANAOISHI LIEGE - UBELGIJI

Balozi wa Tanzania Ubelgiji Dr. Diodorus Buberwa Kamala (mwenye tai) akiwa katika picha ya pamoja na Watanzania wanaoishi Ubelgiji baada ya kumaliza mazungumzo nao leo Liege - Ubelgiji.

 

10 years ago

Vijimambo

RAIS WA MSUMBIJI FILIPE JACINTO NYUSSI AWASILI NCHINI KWA ZIARA RASMI YA SIKU TATU

Rais Kikwete akimpokea Rais Filipe Jacinto Nyusi uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam leo. Rais huyo anayefanya ziara yake ya kwanza nje ya nchi kama rais wa Msumbiji yuko katika ziara rasmi ya siku tatu.Rais Kikwete akimpokea Rais Filipe Jacinto Nyusi uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam leo. Rais huyo anayefanya ziara yake ya kwanza nje ya nchi kama rais wa Msumbiji yuko katika ziara rasmi ya siku tatu.Rais Filipe Jacinto Nyusi...

 

11 years ago

Michuzi

Rais Kikwete akutana na Balozi wa Canada nchini Tanzania Ikulu jijini Dar leo,Pia akutana na Mwenyekiti wa SAGCOT Fund

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimkaribisha Balozi wa Canada nchini,Mh. Alexandre Leveque ikulu jijini Dar es salaam leo. Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika mazungumzo na Balozi wa Canada nchini,Mh.Alexandre Leveque ikulu jijini Dar es Salaam leo asubuhi. Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiagana na Mwenyekiti wa SAGCOT Fund Balozi Ami Mpungwe baada ya kufanya naye mazungumzo ikulu jijini Dar es Salam leo.(picha na Freddy Maro).

 

9 years ago

Michuzi

RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA DKT JOHN POMBE MAGUFULI AKUTANA NA RAIS WA ZANZIBAR DKT ALI MOHAMED SHEIN IKULU DAR ES SALAAM LEO

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akimlaki Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt Ali Mohamed Shein  Ikulu jijini Dar es salaam leo Desemba 26, 2015  Rais Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akiwa katika mazungumzo  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt Ali Mohamed Shein  Ikulu jijini Dar es salaam leo Desemba 26, 2015RaisRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe...

 

10 years ago

Vijimambo

Rais Kikwete aongea na Watanzania wanaoishi India

Rais Jajaya Mrisho Kikwete akiongea na Watanznia wanaoishi India katika Hotel ya Taj Palace jijini Delhi. Rais Kikwete aliwaeleza mambo ya maendeleo yaliyofanywa na Serikali ya awamu ya nne ikiwemo ujenzi wa miundombinu kama vile barabara, maji, umeme na uboreshaji wa bandari ya Dar es Salaam. Aidha, aliwambia mipango iliyopo ya kujenga bandari ya Bagamoyo na reli ya kati ya kisasa. Aliwaeleza pia hali ya kisiasa, hususan maandalizi ya uchguzi mkuu ambapo zoezi la kuchukua fomu za kuwania...

 

10 years ago

GPL

RAIS KIKWETE AKUTANA NA WAJUMBE KITUO CHA DEMOKRASIA TANZANIA



Mwenyekiti wa Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD) Mhe John Cheyo akiongea na Makamu Mwenyekiti wa TCD Mhe Philip Mangula, Katibu Mkuu wa CCM Ndg. ABdulrahman Kinana na Mhe Isack Cheyo walipowasili Ikulu ndogo mjini Dodoma kukutana na Rais Jakaya Mrisho Kikwete leo. Nyuma yao ni Mwenyekiti wa TLP Mhe Augustine Lyatonga Mrema na Mwenyekiti wa UPDP Mhe Fahmi Dovutwa leo. TCD inaundwa na vyama vyenye uwakilishi bungeni,...

 

9 years ago

Michuzi

BALOZI WA TANZANIA NCHINI ZIMBABWE AKUTANA NA RAIS WA ZANZIBAR DK.SHEIN

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Balozi  wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Nchini Zimbabwe Lt.Gen.Mstaafu Charles Makakala alipofika Ikulu Mjini Zanzibarkujitambulisha leo. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akifuatana  na Balozi  wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Nchini Zimbabwe Lt.Gen.Mstaafu Charles Makakala baada ya mazungumzo yao leo alipofika  Ikulu Mjini...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani