RAIS WA GHANA: NATUMAI MAUAJI YA FLOYD YATACHOCHEA MABADILIKO MAREKANI
Rais wa Ghana ameashiria kuhusu mauaji ya kutisha ya Mmarekani mmoja mwenye asili ya Afrika katika mji wa Minneapolis nchini Marekani na kusema kuwa, "natumai kifo cha George Floyd kitakuwa chachu ya madiliko ya kudumu ya matatizo ya chuki na ubaguzi."Nana Addo Dankwa Akufo-Addo ameeleza juu ya kushtushwa na kusikitishwa kwake na mauaji ya Floyd na kueleza bayana kuwa, watu weusi kote duniani wameghadhabishwa na kusikitishwa na mauaji hayo ya kikatili dhidi ya mtu mweusi ambaye hakuwa na...
CCM Blog
Habari Zinazoendana
5 years ago
BBCSwahili29 May
Mauaji ya George Floyd: Waandamanaji wakichoma moto kituo cha polisi cha Minneapolis, Marekani
10 years ago
BBCSwahili19 Jun
Rais Obama akerwa na mauaji Marekani
5 years ago
BBCSwahili02 Jun
George Floyd: Sababu 4 zilizofanya kifo cha M'marekani mweusi kusababisha maandamano makubwa Marekani
5 years ago
BBC11 Jun
How Ghana paid tribute to George Floyd
5 years ago
BBCSwahili01 Jun
Kifo cha George Floyd: Wakili akiita 'mauaji yaliyopangwa'
5 years ago
BBCSwahili03 Jun
George Floyd: Ulimwengu unavyofuatilia matukio nchini Marekani
5 years ago
BBCSwahili06 Jun
George Floyd: Vifo 11 vilivyosababisha maandamano dhidi ya polisi Marekani
5 years ago
BBCSwahili07 Jun
George Floyd: Maandamano makubwa ya kupinga ubaguzi yafanyika Marekani
5 years ago
BBCSwahili10 Jun
George Floyd: Sanamu zilizotukuza biashara ya utumwa Marekani na Ulaya zaharibiwa