Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Rais wa Ukraine aahidi mabadiliko

Rais Petro Poroshenko, Ukraine ameitaka idara ya usalama na bunge la nchi hii kuimarisha usalama mashariki mwa taifa hilo.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Waziri mkuu wa Ugiriki aahidi mabadiliko

Waziri mkuu wa Ugiriki Alexis Tsipras ameahidi kuongeza kima cha chini cha mishahara na kurejesha wafanyakazi walioachishwa.

 

5 years ago

Michuzi

Dkt. Chaula aahidi kuleta mabadiliko Sekta ya Mawasiliano, asisitiza uwajibikaji na mahusiano bora kazini


Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Mawasiliano), Dkt. Zainabu Chaula akizungumza na wafanyakazi wa Sekta yake katika kikao cha wafanyakazi kilichofanyika kwenye ukumbi wa TBA, Dodoma. Kushoto kwake ni Naibu Katibu Mkuu, Dkt. Jim Yonazi na kulia kwake ni Mkurugenzi wa Utumishi na Rasilimali Watu, Kitolina Kippa.
Mwenyekiti wa TUGHE Tawi la Mawasiliano, Bi Laurencia Masigo, akiwasilisha hoja za wafanyakazi kwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na...

 

11 years ago

BBCSwahili

Ukraine ,Rais awaonya wapinzani

Rais wa Ukraine amewaonya waasi walioteka majengo ya serikali waondoke Jumatatu la sivyo wakabiliwe na jeshi.

 

11 years ago

BBCSwahili

Putin akutana na rais wa Ukraine

Putin na Rais Petro Poroshenko, walikutana kwa muda mfupi kabla ya dhifa ya mchana katika maadhimisho ya miaka 70 tangu Ulaya kukombolewa kutoka kwa Wanazzi.

 

11 years ago

BBCSwahili

Rais mpya wa Ukraine kuapishwa

Rais Poroshenko aliyekutana kwa mara ya kwanza na Putin mnamo Alhamisi amesema kuwa mazungumzo mengine na Urusi yatafanyika Jumapili.

 

11 years ago

BBCSwahili

Ukraine yapata rais wa muda

Bunge la Ukraine lamchagua spika mpya kuwa rais wa muda

 

11 years ago

BBCSwahili

Rais wa Ukraine aapishwa rasmi

Rais mpya wa Ukraine tajiri Petro Poroshenko ameapishwa rasmi hii leo katika sherehe iliyofanyika mjini Kiev.

 

11 years ago

BBCSwahili

Poroshenko afikiriwa ni rais wa Ukraine

Tajiri mkubwa wa Ukraine, Poroshenko, afikiriwa kuwa ameshinda katika uchaguzi wa rais wa Ukraine

 

11 years ago

BBCSwahili

Ukraine: Rais kubadilisha mawaziri

Rais wa Ukraine Victor Yanukovych ametangaza kulifanyia mabadiliko baraza la mawaziri ili kutuliza ghasia

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani