Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Rais wa Zanzibar afungua warsha ya Mahusiano ya Kisiasa na Kiutawala

Rais wa Zanzibar, Dk. Ali Mohamed Shein amefungua warsha ya siku tatu kwa viongozi wa juu wa Mikoa na Wilaya kutoka Zanzibar pamoja na mikoa ya Ruvuma, Lindi na Mtwara iliyofanyika Hotel ya sea Cliff Zanzibar. Mkutano huo ulioandaliwa na Taasisi ya UONGOZI umeanza tarehe 10 Novemba, 2014. Lengo la warsha hii ni kutoa fursa kwa washiriki kubadilishana uzoefu na kujifunza mbinu mpya ili kuongeza ufanisi katika utendaji. Haya yalisemwa na Profesa Joseph Semboja, Mtendaji Mkuu wa UONGOZI...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Vijimambo

MAKAMU WA RAIS AFUNGUA RASMI WARSHA KUHUSU AMANI NA USALAMA BARANI AFRIKA

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal akifungua rasmi Warsha ya Ngazi ya Juu kuhusu Amani na Usalama Barani Afrika iliyoandaliwa na Umoja wa Afrika. Tanzania imepata heshima ya kuwa mwenyeji wa Mkutano huo unaofanyika Jijini Arusha kuanzia tarehe 21 hadi 23 Oktoba, 2014 na itawahusisha Wajumbe Maalum, Wasuluhishi, Mabalozi na Wataalam wa masuala ya Amani. Kaulimbiu ya warsha hiyo ni "Silencing the Guns-Owning the Future" na inalenga kujadili...

 

5 years ago

Michuzi

RAIS WA ZANZIBAR DKT.SHEIN AFUNGUA MKUTANO WA JUKWAA LA KUMI LA BIASHARA ZANZIBAR

 RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akihutubia wakati akilifungua Jukwaa la Kumi la Biashara Zanzibar, lililofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar, na kuwashirikisha Wadau wa Sekta Binafsi na za Umma  na Wafanyabiashara Zanzibar . KATIBU Mkuu Kingozi na Katibu wa Baraza la Mapinduzi. Dkt. Abdulhamid Yahya Mzee akizungumza wakati wa hafla ya ufunguzi wa Mkutano wa Jukwaa la kumi (10) la Biashara...

 

11 years ago

Michuzi

WARSHA YA TASAF ILIVYOZINDULIWA LEO NA WAZIRI WA NCHI OFISI YA MAKAMU WA PILI WA RAIS,MH.MOHAMMED ABOUD,ZANZIBAR

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Mohammed Aboud Mohammed, akifunguwa Warsha ya Kuwajengea Uelewa wa Utekelezaji wa Miradi ya Ujenzi (PWP) katika mpango wa Taifa wa Kunusuru Kaya Masikini Tanzania, ilioandaliwa na TASAF Taifa. Iliofanyika katika ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar.  Mkurugenzi Uratibu wa Shughuliza Serekali Zanzibar, Ndg Issa Ibrahim Mahmoud, akitiwa maelezo ya Ufunguzi wa Warsha ya Kuwajengea Uelewa wa Utekelezaji wa Miradi ya Ujenzi...

 

10 years ago

Michuzi

BALOZI SEIF AFUNGUA MKUTANO KWA NIABA YA RAIS WA ZANZIBAR DK SHEIN, WA KUIMARISHA MASUALA YA USHIRIKIANO KATIKA AMANIUSALAMA NA MAENDELEO KWA NCHI ZA AFRIKA MASHARIKI UNAOFANYIKA ZANZIBAR

Vijana wakiimba wimbo wa Taifa kabla ya kuaza kwa ufunguzi wa mkutano huo kulia  Ali Hamad Suleiman na Rukaiya Rashid Kombo. uliofanyika katika ukumbi wac hoteli ya Zanzibar Beach Resorty Mazizini Zanzibar na kufunguliwa na Balozi Ali Ali Iddi kwa niaba ra Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, Viongozi wa meza kuu wakisimama wakati wa kuimbwa kwa wimbo wa Taifa kabla ya kuaza kwa mkutano huo uliowashirikisha Marais Wastaaf, Viongozi wa Dini na Vijana...

 

10 years ago

Vijimambo

BALOZI SEIF AFUNGUA MKUTANO KWA NIABA YA RAIS WA ZANZIBAR, DK. SHEIN WA KUIMARISHA MASUALA YA USHIRIKIANO KATIKA AMANI, USALAMA NA MAENDELEO KWA NCHI ZA AFRIKA MASHARIKI UNAOFANYIKA ZANZIBAR

Vijana wakiimba wimbo wa Taifa kabla ya kuaza kwa ufunguzi wa mkutano huo kulia Ali Hamad Suleiman na Rukaiya Rashid Kombo. uliofanyika katika ukumbi wac hoteli ya Zanzibar Beach Resorty Mazizini Zanzibar na kufunguliwa na Balozi Ali Ali Iddi kwa niaba ra Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein Viongozi wa meza kuu wakisimama wakati wa kuimbwa kwa wimbo wa Taifa kabla ya kuaza kwa mkutano huo uliowashirikisha Marais Wastaafu, Viongozi wa Dini na Vijana...

 

11 years ago

GPL

RAIS KIKWETE AFUNGUA HOSPITALI YA KMKM KIBWENI, ZANZIBAR

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akifunua pazia kama ishara ya ufunguzi rasmi wa Hospitali ya KMKM Kibweni mjini Zanzibar jana Desemba 4, 2014.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akikata utepe kama ishara ya ufunguzi rasmi wa Hospitali ya…

 

10 years ago

Michuzi

RAIS WA ZANZIBAR AFUNGUA MAONESHO YA MUZIKI NCHINI UJERUMANI.

  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akitoa hutuba ya ufunguzi wa Maonesho ya Muziki  katika Mji wa Wurzburg Nchini Ujerumani jana ambayo hufanyika kila mwaka sambamba na utoaji wa Zawadi kwa mwaka 2015 pia kujumisha wanamuziki na wasanii mashuhuri kutoka nchi za Afrika na nchi mbali mbali Duniani. Baadhi ya washiriki katika ufunguzi wa  Maonesho ya Muziki wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein...

 

10 years ago

Vijimambo

RAIS WA ZANZIBAR, DK SHEIN AFUNGUA MKUTANO WA KWANZA WA WADAU WA ZSSF

dk2 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Ikulu na Utawala Bora pia kaimu Waziri wa Fedha Dkt.Mwinyihaji Makame Mwadini (kulia) na Mwenyekiti wa Bodi ya ZSSF Dkt,Suleiman Rashid wakiwa katika Mkutano wa mkutano wa kwanza wa Wadau wa ZSSF wa siku mbili ulioanza leo katika ukumbi wa Salama Bwawani Mjini Unguja.dk4Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akitoa hutuba yake wakati akifungua...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani