Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


RAIS WA ZANZIBAR DK.SHEIN AZUNGUMZA NA MWENYEKITI WA TUME YA HAKI ZA BINADAMU NA UTAWALA BORA IKULU ZANZIBAR LEO



RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Ujumbe wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora Tanzania ukiongozwa na Mwenyekiti wa Tume hiyo (kulia kwa Rais) Jaji Mstaaf. Mathew Paua Mhina, walipofika Ikulu Zanzibar kwa mazungumzo na kujitambulisha, hafla hiyo imefanyika leo 9/6/2020 katika...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Dewji Blog

Tamko kuhusu ushauri wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora kwa Tume ya Uchaguzi Zanzibar

DSC_0733

Mwenyekiti wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora, Mhe. Bahame Tom Nyanduga akiongea na waandishi wa habari (hawako pichani) leo mchana makao makuu ya ofisi za Tume, mtaa wa Barack Obama jijini Dar es Salaam.

DSC_0737

Baadhi ya waandishi wa habari wakimsikiliza Mhe. Nyanduga akitoa tamko kuhusu ushauri wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora kwa Tume ya Uchaguzi Zanzibar.

Ushauri wa THBUB kwa Tume ya Uchaguzi Zbar.doc 

 

10 years ago

Dewji Blog

10 years ago

Habarileo

JK ateua Mwenyekiti Tume ya Haki za Binadamu na Utawala bora

RAIS Jakaya Kikwete amemteua Bahame Nyanduga kuwa Mwenyekiti Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora.

 

5 years ago

CCM Blog

RAIS WA ZANZIBAR DK. SHEIN AZUNGUMZA NA BALOZI WA NIGERIA IKULU JIJINI ZANZIBAR, LEO

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Ujumbe wa Wafanyabiashara kutoka Nchini Nigeria,  walipofika Ikulu Jijini Zanzibar wakiongozana na Balozi wa Nigeria Nchini Tanzania Dk. Sahabi Isa Gada (katikati) kuonana na Rais na  kufanya mazungumzo leo 5/3/2020. Picha na Ikulu, Zanzibar. KWA PICHA ZAIDI >>BOFYA HAPA

 

5 years ago

CCM Blog

TUME YA HAKI ZA BINADAMU NA UTAWALA BORA YAMPONGEZA JPM KUKUTANA NA WAPINZANI, IKULU

Itakumbukwa kuwa mapema wiki hii Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, . Dkt. John Pombe Magufuli alikutana na kufanya mazungumzo na viongozi watatu wa vyama vya upinzani. 

Viongozi hao ni Mshauri wa Chama cha ACT-Wazalendo, Maalimu Seif Sharif Hamad, Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), Prof. Ibrahim Lipumba na Mwenyekiti wa Chama cha NCCR-Mageuzi, Bwana James Mbatia, ambaye pia ni Mwenyekiti wa Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD). 

Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB)...

 

9 years ago

Michuzi

Rais Kikwete atembelea na kuaga rasmi Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akitoa hotuba yake kwa viongozi na wafanyakazi wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora katika ukumbi wa mikutano wa Haki House makao makuu ya Tume hiyo jijini Dar es Salaam leo. Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiteta jambo na mwenyekiti wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora Bwana Tom Nyanduga wakati Rais alipotembelea na kuzungumza na wafanyakazi wa Tume hiyo jijini Dar es Salaam leo. Mwenyekiti wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora Mh.Tom...

 

10 years ago

Michuzi

Balozi wa Uholanzi azungumza na Rais Dk.Shein,Ikulu Zanzibar leo

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Balozi wa Uholanzi nchini Tanzania Bw.Jaap Frederiks alipofika Ikulu Mjini Zanzibar kwa mazungumzo leo. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na Balozi wa Uholanzi nchini Tanzania Bw.Jaap Frederiks alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akifuatana na Balozi wa Uholanzi nchini...

 

11 years ago

Michuzi

RAIS SHEIN AZUNGUMZA NA WAZIRI MATHIAS CHIKAWE IKULU ZANZIBAR LEO

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein (kulia) akimkaribisha ofisini kwake Ikulu mjini Zanzibar, Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe. Mathias Chikawe. Waziri Chikawe alifika ofisini hapo kwa lengo la kujitambulisha kwa Rais huyo baada ya kuteuliwa kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi. Viongozi hao pia walijadiliana masuala mbalimbali ya kuimarisha ulinzi na usalama wa Tanzania Bara na Visiwani. Katikati ni Naibu Waziri wa wizara hiyo, Pereira Ame...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani