Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ray C: Simhurumii Jackie Cliff

MWANADADA aliyetikisa miaka ya nyuma katika tasnia ya muziki wa kizazi kipya nchini, Rehema Chalamila ‘Ray C’, amesema hana hata chembe ya huruma kwa mwanamitindo Jackie Cliff anayedaiwa kukamatwa na...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo Movies

Ray Feki Awatapeli Watu Facebook, Ray Waukweli Atoa Angalizo!

“Wadau na wasanii wote mnaotaka kuigiza msidanganyike na account hii ya Facebook SIYO YANGU NI FAKE.

Maana napata tabu sana Ofisini kwangu watu wanakuja kudai Hela wakisema kuwa Eti Mimi nimetangaza usahili kupitia kwenye account hiyo hapo juu fake Kuwa nahitaji wasanii ni uongo mtupu mnaibiwa pesa zenu na namba anayotumia kuwaibia Watu Hela ni hiii hapa 0779 946440.

Msidanganywe ni matapeli hao Mimi Sijatangaza Chochote kwenye Facebook. Im done hope That You Have All understood...

 

10 years ago

Smithsonian

Why a Tanzanian Village Chased Six Elephants Off a Cliff


Why a Tanzanian Village Chased Six Elephants Off a Cliff
Smithsonian
Illegal wildlife trade frequently makes headlines these days, but it's not the only potential danger to large animals. Animals like elephants or tigers can also be killed by locals who have no interest in poaching those species' body parts. Instead, such killings ...

 

10 years ago

Bongo5

New Video: Cliff Mitindo Ft Ciana — Complicated

Video mpya kutoka kwa rapper Cliff Mitindo akimshirikisha Ciana wimbo unaitwa “Complicated” video imeongozwa na Kevin Bosco Kutoka Kenya

 

11 years ago

GPL

CHUCHU AJICHORA TATUU YA RAY, RAY AJIBU

Stori: Imelda Mtema
KATIKA hali inayoonesha kuna kitu kikubwa kinakuja mbeleni, msanii wa filamu, Chuchu Hans amejichora ‘tatuu’ inayosomeka kwa jina la Ray huku anayedaiwa kuwa mpenzi wake, Vincent Kigosi ‘Ray’ naye akiwa amejichora tatuu inayosomeka kwa jina la Chuchu. Ray na Chuchu. Picha ambazo gazeti hili limezinasa zinawaonesha wawili hao wakipigia ‘promo’ uhusiano wao huku wadau...

 

9 years ago

Bongo5

Cliff Mitindo asema angeacha muziki kama haulipi

Rapper Cliff Mitindo amesema kama muziki wa Hip Hop ungekuwa haumlipi angekwisha achana nao. Cliff aliyepo kwenye maandalizi ya video ya wimbo wake mpya, ‘Natamani’, ameiambia Bongo5 kuwa anaona muziki wake una nafasi kubwa katika soko la muziki hapa nchini. “Unajua soko la bidhaa kadhaa, kila bidhaa ina watu wake,” amesema. “Kiukweli muziki wa Hip […]

 

10 years ago

BBCSwahili

Mwanawe Jackie Chan akamatwa na Bhangi

Mwanawe msanii Jackie Chan Jaycee amekamatwa na bhangi

 

11 years ago

Michuzi

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani