RC: Diwani aliyeingia kutajirika ajiondoe
MKUU wa Mkoa wa Ruvuma, Said Mwambungu amesema diwani anayefikiri ameingia madarakani kwa lengo la kupata utajiri ni vyema ajiondoe mapema, kwa kuwa serikali haitavumilia mtu atakayebainika kujihusisha na rushwa, watachukuliwa hatua.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi23 Jul
BILIONEA : Hizi ni falsafa za kutajirika kwa ujasiriamali — 5
Mafanikio katika maisha siyo jambo jepesi ambalo linaweza kuja kimiujiza. Mara nyingi ni hatua ambayo inaanzia mbali ikiandamana na mipango, juhudi katika utekelezaji na hata kukabili vikwazo mbalimbali.
10 years ago
Mwananchi26 Nov
Jonas Savimbi, mtoto wa ‘mtumishi’ aliyeingia msituni
Risasi 15 zilizoingia katika maeneo tofauti ya mwili wa Jonas Malheiro Savimbi ziliukatiza uhai wake, baada ya miaka 27 ya mapambano ya msituni dhidi ya Serikali ya Angola.
10 years ago
GPL09 Dec
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania