RC TABORA AWATAKA WANANCHI KUTOA TAARIFA ZA WAGENI WASIOWAFAHAMU
NA TIGANYA VINCENT,TABORA
MKUU wa Mkoa wa Tabora Aggrey Mwanri ametoa wito kwa wakazi wa Mkoa huo kutoa taarifa za wageni wasiofahamika walikopotoka pindi wanaonekana katika maeneo yao ili kuepuka kuambukizwa homa kali ya mapafu inayoenezwa na kirusi kipya aina ya Corona.
Alisema Mkoa huo ni mkubwa na unapatakana na mikoa inayopakana na Nchi za jirani na upo uwezekano wa wageni kuingia kwa kutumia njia za panya na hivyo kuhatarisha afya za wakazi wa Tabora.
Mwanri alitoa kauli hiyo leo...
Michuzi
Habari Zinazoendana
5 years ago
CCM BlogMKUU WA MKOA TABORA AWATAKA WANANCHI KUENDELEA KUCHUKUA TAHADHARI DHIDI YA CORONA
Kauli hiyo imetolewa na na Mkuu wa mkoa wa Tabora Aggrey Mwanri kwenye mkutano maalumu wa aliouitisha kujadili mikakati ya kupambana na jinsi ya kujikinga na ugonjwa wa Corona.
Aliwataka wananchi wote mkoani humo kuungana pamoja katika utekelezaji wa mapambano hayo na kuchukua...
5 years ago
Michuzi
WANANCHI WASHAURIWA KUTOA TAARIFA SAHIHI ZILIZOTHIBITISHWA

LEO Aprili 2 dunia inaadhimisha siku ya kimataifa ya kuhakikisha ukweli wa taarifa juu ya mambo yanayosikika ( World Fact Checking Day) ni siku ya kila mmoja kutafakari juu ya taarifa kuhusu taarifa anayopokea na kuipeleka kwa watu wengine.
Ikiwa ni maadhimisho ya tatu kufanyika mtandao wa uhakiki wa taarifa duniani (IFNC) umeeleza kuwa maadhimisho ya siku hiyo ni kwa kila mmoja wakiwemo wananchi, wanahabari na wataalamu wa uhakiki wa taarifa ikiwa...
9 years ago
StarTV04 Nov
 Polisi yaomba wananchi kutoa taarifa kwa dola
Jeshi la Polisi nchini limewaomba wananchi kutoa taarifa katika vyombo vya Dola pindi wanapoona dalili za uvunjifu wa amani katika maeneo yote ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Kauli hiyo imetolewa na Kamishna wa Operesheni na Mafunzo wa Jeshi la Polisi nchini CP. Paul Chagonja alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari katika makao makuu ya jeshi hilo jijini Dar es salaam.
Kamishna wa Operesheni na Mafunzo, CP Paul Chagonja anaanza kwa kuwapongeza wananchi na wadau wote wa usalama...
10 years ago
GPL
WANANCHI WATAKIWA KUTOA TAARIFA ZA UKIUKAJI WA KANUNI NA SHERIA ZA USALAMA BARABARANI
5 years ago
Michuzi
JESHI LA POLISI ARUSHA LAWAASA WANANCHI KUTOA TAARIFA HARAKA WANAPOTOKEA MAJANGA YA MOTO
Jeshi la Polisi Mkoani Arusha limewataka wananchi kutoa taarifa haraka kwa Jeshi la Polisi na Jeshi la zima moto na uokoaji pindi wanapoona majanga ya moto yanapotokea ili kuweza kuyadhibiti kwa haraka kabla hayajaleta madhara makubwa.
Akitoa taarifa za kutokea kwa tukio hilo kwa waandishi wa habari Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoani humo KOKA MOITA ACP amesema tukio hilo limetokea jana majira ya saa tano na nusu usiku katika Soko la Samunge lililopo Mtaa wa NMC,Kata ya...
5 years ago
Michuzi
JAFO AZINDUA KITUO CHA AFYA WILAYA YA KITETO, AWATAKA WAHUDUMU WA AFYA KUTOA HUDUMA BORA KWA WANANCHI



5 years ago
Michuzi
TBS YAWASHAURI WANANCHI, WAFANYABIASHARA KUTOA TAARIFA ZITAKAZOSAIDA KUBAINI WALISHAJI NYAYA ZA UMEME ZISIZOKUWA NA VIWANGO, UBORA

SHIRIKA la Viwango Tanzania (TBS)limewashauri wananchi na wafanyabiashara wote nchini kutoa taarifa zitakazosaidia kuwabaini wazalishaji wa bidhaa za umeme hususani nyaya, zisizo na viwango ili waweze kuchukuliwa hatua kwa mujibu wa sheria.
Hayo yamebainishwa na Mkurugenzi wa upimaji na ugezi wa Bidhaa kutoka TBS Johanes Maganga alipokuwa akizungumza jijini Dar es Salaam baada ya kuibuka kwa malalamiko ya baadhi ya wafanyabiashara kuhusu uwepo wa baadhi ya...
5 years ago
Michuzi
WANANCHI KIGOMA WAMEKUWA NA MWAMKO MKUBWA KUTOA TAARIFA ZA UKATILI WA KIJINSIA KWA WAKATI MADAWATI YA JINSIA YA POLISI
WANANCHI wa Mkoa wa Kigoma wamekuwa na mwamko wa kutoa taarifa kwa wakati kwenye madawati ya jinsia ya polisi juu ya matukio mbalimbali ya ukatili wa kijinsia na watoto yanayowatokea.
Akisoma taarifa kwa kwa balozi wa umoja wa ulaya Manfredo Fanti,Mkuu wa dawati la jinsia ofisi za Kigoma mjini Inspeta Doris alisema kuwa kutokana na elimu ambayo wameitoa kuhusu ukatili wa jinsia na watoto pamoja na umuhimu wa kutoa taarifa kwa wakati mara wanaposhuhudia tukio...
5 years ago
Michuzi
Maji ya Ziwa Victoria Kufika Tabora sio ndoto tena, ni kweli tumeyaona- Wananchi wa Tabora

