REPEAT: Nay wa Mitego aliumizwa na hili pia mwaka 2015 ila hakuongea kwa undani kiasi hiki
Kila mtu anayo yaliyompata mwaka 2015 iwe huzuni au furaha, kwa staa wa bongofleva Nay wa Mitego kwenye upande wa mapenzi hawezi kusahau mengi ikiwemo ya mpenzi wake kuvishwa pete ya uchumba na Mwanaume mwingine wakati huohuo akiwa na Nay, mengine yote aliyoyasema yapo kwenye hii video hapa chini’ Unataka kutumiwa MSG za habari zote […]
The post REPEAT: Nay wa Mitego aliumizwa na hili pia mwaka 2015 ila hakuongea kwa undani kiasi hiki appeared first on TZA_MillardAyo.
MillardAyo
Habari Zinazoendana
9 years ago
MillardAyo22 Dec
VIDEO: Nay wa Mitego na ukweli wa DNA 2015, kawaongelea pia Shamsa FORD na Chagga Barbie
2015 ulikua ni mwaka wa headlines za mapenzi pia kwa staa mwingine kutoka kwenye bongofleva, Nay wa Mitego ambaye alikutwa na makubwa mpaka kuamua kwenda kufanya vipimo vya DNA ili kujua kama mtoto ni wake au wa Mwanaume mwingine, pia siku kadhaa baadae akawa mapenzini na staa wa movie Shamsa Ford, ukweli wote upo kwenye […]
The post VIDEO: Nay wa Mitego na ukweli wa DNA 2015, kawaongelea pia Shamsa FORD na Chagga Barbie appeared first on TZA_MillardAyo.
9 years ago
Bongo519 Nov
Chagga Barbie ndiye ameziba nafasi ya Shamsa Ford kwa Nay Wa Mitego? Nay azungumza
![Chagga na Nay](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/Chagga-na-Nay-300x194.jpg)
Jimbo la mapenzi la Nay Wa Mitego liko wazi toka aachane na aliyekuwa cousin mpenzi wake Shamsa Ford, lakini swali ni kwamba ni mrembo gani aliyerithi nafasi hiyo iliyoachwa wazi na Shamsa ambayo huenda kuna warembo wengi wanaitamani?
Kama unamfatilia Nay Wa Mitego kwenye akunti yake ya Instagram sina shaka utakuwa umeanza kuona dalili za kuwa kuna mpenzi mpya ‘mteule’ anayesubiri ‘kuapishwa’ na kuwa rasmi.
Chagga Barbie sio jina geni, ndio yule aliyezitawala headlines nyingi alipokuwa...
9 years ago
Bongo506 Jan
Nay Wa Mitego: Mwaka huu nitaachia nyimbo sita badala ya tatu kama watu walivyozoea
![nay new2](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2016/01/nay-new2-300x194.jpg)
Nay Wa Mitego amesema kuwa moja ya mipango ya kuboresha kazi zake mwaka huu ni pamoja na kuongeza idadi ya nyimbo atakazoachia.
Akizungumza na MTANZANIA, Ney wa Mitego alisema amekuwa akitoa nyimbo mbili au tatu kwa mwaka lakini katika mwaka huu anataka kuachia nyimbo sita.
“Nimekuwa nikitoa nyimbo mbili kwa mwaka au tatu, kwa sasa nataka nizidi kuwapa raha mashabiki wangu kwa mambo mazuri ambayo nimewaandalia mwaka huu, nitaachia nyimbo sita badala ya tatu kama watu walivyozoea,”...
11 years ago
Mwananchi14 May
Tuzibe mianya iliyoruhusu kupoteza kodi kwa kiasi hiki
10 years ago
Bongo523 Aug
Behind The Scenes: Utengenezaji wa video ya Nay Wa Mitego ‘Mr Nay’ nchini Kenya
10 years ago
Bongo530 Aug
Usichokifahamu kuhusu ‘concept’ ya video mpya ya Nay wa Mitego ‘Mr Nay’
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/XewtWaR3V6ZDLT3*b5UGvEmbAhyl78WGBVCPQ4O-C6eAe7aWqCvMfiP8cTcmYsup06-lKSSQ479D09YtbKynUtz7Wak3ZycR/nay.jpg?width=650)
NAY WA MITEGO ASAKWA KWA KUTISHIA KUUA