Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


ROSE NDAUKA MCHUMBA'KE WAACHANA!

Stori: Imelda Mtema
Ooh…nooo! Wachumba wa muda mrefu, staa wa sinema za Kibongo, Rose Donatus Ndauka na Malick Bandawe ambao maisha yao ya kimapenzi yamekuwa yakitawaliwa na msuguano wa chini kwa chini, hatimaye wameachana, Ijumaa Wikienda linakupa mkanda mzima. Staa wa sinema za Kibongo, Rose Ndauka. TUJIUNGE NA CHANZO
Chanzo makini na cha uhakika kimemwaga data kwamba wachumba hao ambao walivalishana pete kwa...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo5

Rose Ndauka na Chiwaman waachana, ndoto za ndoa zayeyuka, Rose athibitisha

Msanii wa filamu Rose Ndauka ambaye alikuwa mbioni kufunga ndoa na mzazi mwenzake, msanii wa kundi la TNG, Malick Bandawe maarufu kama King Chiwaman wameachana kutokana na kutoelewana ndani ya mahusiano yao. Rose Ndauka na Chiwaman Akizungumza na bongo5 leo, Rose amesema wamejaribu kukaa chini na kuyaweka sawa mahusiano yao lakini imeshindika na kuona sulihisho […]

 

10 years ago

GPL

ALIYEKUWA MCHUMBA WA ROSE NDAUKA, MALICK BANDAWE ATEMBELEA GPL, AFUNGUKA KISA CHA KUACHANA NA ROSE

Mwanamuziki Chiwa Malick Bandawe wakati akihojiwa na Global TV Online leo. Malick akijibu baadhi ya maswali ya wanahabari wakati akihojiwa na Global TV Online.…

 

11 years ago

GPL

ROSE NDAUKA AJIFUNGUA

Stori: Imelda Mtema
STAA wa filamu Bongo, Rose Ndauka amejifungua mtoto wa kike kwa njia ya upasuaji mwanzoni mwa wiki hii katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili iliyopo jijini Dar. Rose Ndauka. Akizungumza na gazeti hili, Rose Ndauka alisema anamshukuru sana Mungu kwa kumjaalia kujifungua salama huku mwanaye huyo akiwa na afya njema. “Ki ukweli kabisa namshukuru sana Mungu kwa zawadi ya mtoto kwa maana nimejifungua...

 

10 years ago

GPL

ROSE NDAUKA HAKAMATIKI

Stori: Musa Mateja
Acha kabisa! Baada ya kuachana na aliyekuwa mchumba’ke, Malick Bandawe kisha kurudi kwao, Kigogo jijini Dar, staa grade one wa Bongo Movies, Rose Donatus Ndauka anadaiwa hivi sasa hakamatiki hivyo hakauki viwanja. Staa grade one wa Bongo Movies, Rose Donatus Ndauka akiinjoi uhuru wa kuwa 'Single' Viwanja. Uchunguzi wa Ijumaa Wikienda ambalo limekuwa likimnyatia kwa ukaribu Rose unaonesha kwamba tangu...

 

10 years ago

GPL

NAY AMFUMANIA MCHUMBA'KE KITANDANI

Musa mateja
KABAANG! Mkali wa Bongo Fleva, Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’, amedaiwa kumfumania ‘laivu’ mchumba wake Siwema akiwa kitandani na ‘serengeti boy’ wake ambaye jina lake halikuweza kupatikana mara moja, Ijumaa lina full stori. Mkali wa Bongo Fleva, Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’. NI MWANZA
Kwa mujibu wa chanzo kilichoshuhudia mwanzo mwisho, tukio hilo...

 

10 years ago

Mtanzania

Rose Ndauka apingana na mvua

ndaukaNa Rhobi Chacha
WAKATI wakulima wakishangilia ujio wa mvua za wastani, mwigizaji Rose Ndauka amesema anakerwa na mvua hizo kwa kuwa zinavuruga kazi zake za kumwingizia kipato.
Msanii huyo alisema kazi zake nyingi zinafanyika katika hali ya kutokuwa na mvua lakini kila anapopanga kufanya kazi hizo mvua hunyesha na kumharibia mipango yake.
“Mvua naichukia maana kila ninapojipanga kwa kazi inanyesha lakini sina la kufanya kwa kuwa Mungu ndiye anayepanga inyeshe ila inakwamisha kazi zangu,”...

 

10 years ago

Bongo Movies

Mvua ya Mkwamisha Rose Ndauka

Staa wa Bongo Movies Rose Ndauka amesema anakerwa na mvua zinazoendelea kunyesha hapa jijini Dar kwa kuwa zinavuruga kazi zake za kumwingizia kipato.

Staa huyo alisema kazi zake nyingi zinafanyika katika hali ya kutokuwa na mvua lakini kila anapopanga kufanya kazi hizo mvua hunyesha na kumharibia mipango yake.

“Mvua naichukia maana kila ninapojipanga kwa kazi inanyesha lakini sina la kufanya kwa kuwa Mungu ndiye anayepanga inyeshe ila inakwamisha kazi zangu,” alimaliza Rose Ndauka.

 

11 years ago

GPL

ROSE NDAUKA ASAFISHA JIJI

Wakitoka kwenye viwanja vya mnazi mmoja kuelekea Lumumba kuanza kazi. Meya wa wilaya ya Ilala, Jerry Slaa akiwa kazini. Wakiwa…

 

11 years ago

GPL

ROSE NDAUKA AYACHANA MAKUNDI

Na Rhoda Josiah MWIGIZAJI wa sinema za Kibongo, Rose Ndauka ameweka wazi kwamba kinachomfanya aishi vizuri na wenzake ni kutoendekeza makundi. Mwigizaji wa sinema za Kibongo, Rose Ndauka. Akipiga stori na mwandishi wa gazeti hili, Rose alisema anampenda na atampenda mtu yeyote atakayekuwa tayari kuwa na urafiki naye kwa sababu hiyo ndiyo staili yake ambayo inamfanya hata wanaomchukia katika makundi hayo wampende....

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani