Rukwa, Katavi watumia vibaya ARVs
BAADHI ya wanaume katika mikoa ya Rukwa na Katavi wanakiri kutumia dawa za kufubaza virusi vya Ukimwi (VVU) ARVs kama njia ya kujikinga na maambukizi ya VVU wanapokutana kimwili na wanawake wanaouza miili yao maarufu kama ‘changu doa’.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
BBCSwahili24 Mar
Makahaba watumia Vibaya Hijab Kenya
11 years ago
Habarileo04 Jun
Wanawake Rukwa watumia kondomu kama bangili
BAADHI ya wanawake mkoani Rukwa wamebadili matumizi ya kondomu za kike kwa kuzivaa kama urembo wa bangili.
10 years ago
Habarileo09 Aug
Rukwa, Katavi wataka Nanenane ihame Mbeya
WAKULIMA wa mikoa ya Rukwa na Katavi, wametaka uongozi wa Chama cha Wakulima (TASO) unaoratibu sherehe za maonesho ya Nanenane nchini, kuandaa maonesho hayo kwa zamu, badala ya kila mwaka kulazimika kwenda jijini Mbeya ili kuhudhuria maonesho hayo.
9 years ago
Habarileo25 Aug
Magufuli kuanza kampeni Rukwa akitokea Katavi
MGOMBEA urais kwa tiketi ya CCM, Dk John Pombe Magufuli na mgombea mwenza wake, Samia Suluhu Hassan wanatarajia kuanza kampeni zao mkoani Rukwa wakitokea mkoani Katavi.
11 years ago
TheCitizen25 Jan
Two men killed in separate incidents in Katavi and Rukwa
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-GQHeeEoiNKw/VX24_ksrpBI/AAAAAAAHfTg/lz39gkw6TPg/s72-c/MMGL0481.jpg)
LOWASSA APATA UDHAMINI WA KISHINDO KATIKA MIKOA YA KATAVI LA RUKWA
![](http://2.bp.blogspot.com/-GQHeeEoiNKw/VX24_ksrpBI/AAAAAAAHfTg/lz39gkw6TPg/s1600/MMGL0481.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-m7MNKzLYlDc/VX24_wBoz-I/AAAAAAAHfTo/ooMLl43W5Ck/s1600/MMGL0484.jpg)
10 years ago
Dewji Blog10 Sep
Tume ‘Operesheni Tokomeza’ kutembelea Kigoma, Katavi, Rukwa na Mbeya
Katibu wa Tume Wakili Fredrick Manyanda.
Na Mwandishi Wetu
Tume ya Rais ya Uchunguzi wa Operesheni Tokomeza Ujangili imetangaza ratiba ya kwanza ya ziara yake katika Mikoa ya Kigoma, Katavi, Rukwa na Mbeya ili kukusanya taarifa na kupokea malalamiko yaliyotokana na utekelezaji hiyo.
Kwa mujibu wa Taarifa ya Tume hiyo iliyotolewa leo, Jumatano (Septemba 10, 2014) na Katibu wa Tume Wakili Fredrick Manyanda, ziara hiyo itaanza tarehe 17 mwezi huu na kumalizika tarehe 6 mwezi ujao.
Kwa mujibu...
10 years ago
GPL![](http://4.bp.blogspot.com/-MLMhPFGW4gU/VX25DaaREBI/AAAAAAAHfT0/EdDklSxXabo/s1600/MMGL0524.jpg?width=650)
LOWASSA APATA UDHAMINI WA KISHINDO KATIKA MIKOA YA KATAVI, RUKWA