Sababu za Mtatiro kung’oka CUF
SIRI ya Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahimu Lipumba kufanya mabadiliko kwenye kurugenzi zake kwa kumng’oa Julius Mtatiro kwenye nafasi ya Naibu Katibu Mkuu Bara, imefichuka. Vyanzo vya...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mtanzania17 Jan
Ngeleja agoma kung’oka
SHABANI MATUTU NA AZIZA MASOUD, DAR ES SALAAM
MWENYEKITI wa Kamati ya Katiba, Sheria na Utawala, William Ngeleja, ameendelea kushikilia msimamo wake kutojiuzulu nafasi yake hiyo kama ilivyoelekezwa katika maazimio nane ya Bunge.
Mbali na Ngeleja, katika azimio hilo la Bunge linataka Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Bajeti, Andrew Chenge na Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Nishati na Madini, Victor Mwambalaswa, waondolewe katika nafasi zao kutokana na kufaidika na mgawo wa fedha za...
10 years ago
Tanzania Daima12 Oct
Zitto kung’oka CHADEMA
MBUNGE wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe (CHADEMA), inadaiwa yupo katika hatua za mwisho kujiengua ndani ya chama hicho alichojijengea sifa kubwa Kwa mujibu wa watu walio karibu na Zitto, wamelidokeza...
10 years ago
Mtanzania11 May
Nyota watatu kung’oka Simba
NA JUDITH PETER, DAR ES SALAAM
TIMU ya Simba imepanga kuwatema nyota wake watatu na kusajili wachezaji wenye uzoefu ili kuimarisha kikosi hicho ambacho kinaundwa na chipukizi wengi.
Simba imeanza mikakati ya usajili kwa ajili ya msimu ujao baada ya kumaliza Ligi Kuu Tanzania Bara msimu huu ikiwa nafasi ya tatu huku ubingwa ukinyakuliwa na watani wao wa jadi Yanga na Azam kushika nafasi ya pili.
Akizungumza jijini Dar es Salaam juzi Ofisa Habari wa timu hiyo, Haji Manara, alisema uongozi...
11 years ago
Tanzania Daima22 Dec
Madiwani wafurahia mawaziri kung’oka
MADIWANI wa Wilaya ya Tarime, Mara, wamefurahishwa na taarifa ya Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Mazingira iliyowasilishwa na Mwenyekiti wake James Lembeli bungeni na kusababisha mawaziri wanne kuachia nyadhifa...
10 years ago
Tanzania Daima07 Nov
Naibu Waziri kung’oka na IPTL
SAKATA la kashfa ya mradi wa kuzalisha umeme wa Kampuni ya Independent Power (IPTL), limeingia hatua mpya baada ya kuibuka madai kwamba Naibu Waziri mmoja Nishati na Madini, anaandaliwa kisaikolojia...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/ddTCHyz3HmxrqQAiRwkIX*sbBdxRGHRFtGElrWDhYi7nkFvS80TloD76R3EGQSO-*2Db-IBXwuEhrofCmHSMIc0OCMwSU*zR/backpage.gif?width=650)
UBUNGE ARUSHA, LEMA KUNG’OKA
11 years ago
Tanzania Daima21 Jan
Rage atoa sharti kung’oka Simba
MWENYEKITI wa Simba, Ismail Rage ‘Tutu Vengere’ ameutaka uongozi wote ulioko madarakani kuachia ngazi ili klabu iongozwe na watu wapya kwa ajili ya kuleta ufanisi. Rage amekuwa akiandamwa na baadhi...
11 years ago
Tanzania Daima25 Dec
Kung’oka kwa mawaziri tusherehekehe au tulie?
MAWAZIRI wanne katika Serikali ya Awamu ya Nne ya Rais Jakaya Kikwete ikiwa ukingoni wameng’oka baada ya shinikizo kali kutoka kwa wabunge kufuatia kashfa ya ukiukwaji mkubwa wa haki za...
11 years ago
Tanzania Daima14 May
UFISADI WA BIL. 200/-BoT: CCM kung’oka kama KANU
KASHFA nzito ya ufisadi wa dola za Marekani milioni 122 (sawa na sh bil. 200) inayowakabili vigogo sita wa serikali, huenda ikaking’oa madarakani Chama Cha Mapinduzi (CCM) kama ilivyotokea kwa...