UBUNGE ARUSHA, LEMA KUNG’OKA
![](http://api.ning.com:80/files/ddTCHyz3HmxrqQAiRwkIX*sbBdxRGHRFtGElrWDhYi7nkFvS80TloD76R3EGQSO-*2Db-IBXwuEhrofCmHSMIc0OCMwSU*zR/backpage.gif?width=650)
Stori: Joseph Ngilisho KUMEKUCHA! Duru za kisiasa katika Jimbo la Arusha Mjini zinaeleza kuwa kuna uwezekano mkubwa wa mbunge anayeliongoza jimbo hilo kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Godbless Jonathan Lema kuangushwa katika uchaguzi mkuu ujao baada ya mfanyabiashara mkubwa (bilionea) mmoja (jina kapuni) jijini hapa, kudaiwa kutenga mabilioni ya fedha kwa ajili kuumaliza ufalme wa Lema. Godbless...
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mwananchi14 Dec
Lema aongoza ubunge Arusha, Kigoda Handeni
9 years ago
MillardAyo16 Dec
Baada ya Godbless Lema kutangazwa mshindi ubunge Arusha, Mollel ameyasema haya
Weekend iliyopita ulifanyika uchaguzi kwenye jimbo la Arusha mjini kumtafuta Mbunge ambaye ataliongoza jimbo hilo kwa miaka mitano ijayo ambapo Mshindi alitangazwa kuwa Godbless Lema wa CHADEMA, pamoja na ushindi wake kutangazwa aliyekua mgombea wa CCM Philemon Mollel amejitokeza kusema ushindi ni batili. Sababu zote zilizomfanya Mollel kusema ushindi huo ni batili zipo ukibonyeza play […]
The post Baada ya Godbless Lema kutangazwa mshindi ubunge Arusha, Mollel ameyasema haya appeared first...
10 years ago
Mtanzania17 Jan
Ngeleja agoma kung’oka
SHABANI MATUTU NA AZIZA MASOUD, DAR ES SALAAM
MWENYEKITI wa Kamati ya Katiba, Sheria na Utawala, William Ngeleja, ameendelea kushikilia msimamo wake kutojiuzulu nafasi yake hiyo kama ilivyoelekezwa katika maazimio nane ya Bunge.
Mbali na Ngeleja, katika azimio hilo la Bunge linataka Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Bajeti, Andrew Chenge na Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Nishati na Madini, Victor Mwambalaswa, waondolewe katika nafasi zao kutokana na kufaidika na mgawo wa fedha za...
10 years ago
Tanzania Daima12 Oct
Zitto kung’oka CHADEMA
MBUNGE wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe (CHADEMA), inadaiwa yupo katika hatua za mwisho kujiengua ndani ya chama hicho alichojijengea sifa kubwa Kwa mujibu wa watu walio karibu na Zitto, wamelidokeza...
10 years ago
Mtanzania11 May
Nyota watatu kung’oka Simba
NA JUDITH PETER, DAR ES SALAAM
TIMU ya Simba imepanga kuwatema nyota wake watatu na kusajili wachezaji wenye uzoefu ili kuimarisha kikosi hicho ambacho kinaundwa na chipukizi wengi.
Simba imeanza mikakati ya usajili kwa ajili ya msimu ujao baada ya kumaliza Ligi Kuu Tanzania Bara msimu huu ikiwa nafasi ya tatu huku ubingwa ukinyakuliwa na watani wao wa jadi Yanga na Azam kushika nafasi ya pili.
Akizungumza jijini Dar es Salaam juzi Ofisa Habari wa timu hiyo, Haji Manara, alisema uongozi...
11 years ago
Tanzania Daima22 Dec
Madiwani wafurahia mawaziri kung’oka
MADIWANI wa Wilaya ya Tarime, Mara, wamefurahishwa na taarifa ya Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Mazingira iliyowasilishwa na Mwenyekiti wake James Lembeli bungeni na kusababisha mawaziri wanne kuachia nyadhifa...
11 years ago
Tanzania Daima01 Jul
Sababu za Mtatiro kung’oka CUF
SIRI ya Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahimu Lipumba kufanya mabadiliko kwenye kurugenzi zake kwa kumng’oa Julius Mtatiro kwenye nafasi ya Naibu Katibu Mkuu Bara, imefichuka. Vyanzo vya...
10 years ago
Tanzania Daima07 Nov
Naibu Waziri kung’oka na IPTL
SAKATA la kashfa ya mradi wa kuzalisha umeme wa Kampuni ya Independent Power (IPTL), limeingia hatua mpya baada ya kuibuka madai kwamba Naibu Waziri mmoja Nishati na Madini, anaandaliwa kisaikolojia...