Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


SABASABA YANUKIA

 Baadhi ya mafundi wakishughulika na ujenzi wa eneo litakalotumika kwa maonyesho ya bidhaa Hekaheka za kupaka rangi zikiendelea sehemu ya chooni …

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Kilimanjaro Marathon yanukia

Wakimbiaji mashuhuri kutoka Kenya, Uganda na kwingine barani Afrika, Ulaya, America na Asia wanategemewa kuchuana katika mbio za kimataifa za Kili Marathon Kaskazini mwa Tanzani.

 

9 years ago

Mtanzania

Bomoabomoa yanukia Kariakoo

DSC_0383Na Christina Gauluhanga, DAR ES SALAAM

MANISPAA ya Ilala imetoa siku saba kwa wamiliki wa nyumba, maduka, gereji bubu, sehemu za maegesho kuhakikisha wanaondoka katika maeneo waliyovamia kabla bomoabomoa haijawakumba.

Pia imeipa Mamlaka ya Maji Safi na Taka (DAWASCO) siku saba kuhakikisha inaunganisha mabomba ya maji taka yaliyopasuka, na kuondoa kero  ya kusambaa mitaani.

Mkurugenzi wa Ilala, Isaya Mngurumi, alikuwa akizungumza   Dar es Salaam jana alipotoa tathimini ya usafi katika...

 

10 years ago

GPL

DIAMOND, ZARI NDOA YANUKIA

Na Musa Mateja/Ijumaa Wikienda
WAKATI mama mzazi wa staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Sanura Kasim ‘Sandra’ akiwa nchini India kwa matibabu ya tatizo la kiafya linalodaiwa kuwa ni kupooza, hapa Bongo dalili za Diamond na mpenzi wake wa sasa, Zarinah Hassan ‘Zari’ au The Boss Lady kufunga ndoa zinanukia.… ...

 

11 years ago

GPL

BELA, KALAMA NDOA YANUKIA

Stori: Gladness Mallya STAA wa Bongo Fleva, Isabela Mpanda ‘Bela’ na mpenzi wake wa kitambo, Karama Omari ‘Luten’ wanatarajia kufunga ndoa Novemba, mwaka huu. Staa wa Bongo Fleva, Isabela Mpanda ‘Bela’. Akizungumza na mwanahabari wetu, Isabela ambaye anatamba na wimbo wa Taratibu alisema ana furaha isiyo na kifani kwani kwa mara ya kwanza tangu aanze uhusiano wa kimapenzi na Karama...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Filamu ya ‘Mwiko’ yanukia sokoni

MUVI mpya ya kitanzania inayokwenda kwa jina la ‘Mwiko’ inatarajiwa kuingia sokoni mwanzoni mwa mwezi ujao, ikiwa imekusanya nyota kibao wanaotikisa katika tasnia hiyo. Mkurugenzi wa OJM Film Company, Omary...

 

11 years ago

BBCSwahili

Katiba mpya yanukia Misri

Wanaounga mkono rasimu hiyo ya katiba wanasema kuwa itaimarisha demokrasia katika siku za usoni.

 

10 years ago

Mwananchi

Azam mtegoni, Simba yanukia CAF

Simba inapewa nafasi kubwa ya kumaliza nafasi ya pili msimu huu kutokana na Azam kuwa mtegoni iwapo itashindwa kupiga hesabu nzuri dhidi ya Yanga na Mgambo JKT katika mechi zake zinazofuata.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Dunia Haina Siri yanukia sokoni

FILAMU iliyopewa jina la ‘Dunia Haina Siri’ iliyochezwa kwa ustadi na msanii David Justine, ipo katika hatua za mwisho za kukamilika na inatarajiwa kuingizwa sokoni mwanzoni mwa mwezi ujao. Akizungumza...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani