SAFARI YA UCHAGUZI - STAR TV | JUNE.3.2015
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBC10 years ago
Mwananchi26 May
UCHAGUZI UPINZANI 2015: Profesa Abdallah Safari: Makamu Mwenyekiti Chadema
>Profesa Abdallah Safari ni Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) na wakili wa kujitegemea Tanzania. Alizaliwa Juni 3, 1951, katika Kata ya Ngamiani, Tanga (anatimiza miaka 64 Juni).
10 years ago
MichuziSAFARI LAGER YATANGAZA BAR 5 ZILIZOINGIA FAINALI SAFARI NYAMA CHOMA 2015 “DAR ONE"
Meneja Mauzo Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) kwa ukanda wa Temeke, Patrick Swai akizungumza na waandishi wa habari (hawapi pichani)wakati akizitangaza bar tano zilizofanikiwa kuingia fainali kwenye kinyang’anyiro cha shindano la uchomaji nyama “Safari Lager Nyama Choma Competition 2015”,kwa mkoa wa Dar es salaam.
10 years ago
BBC10 years ago
BBC10 years ago
BBC10 years ago
BBC03 Jul
10 years ago
VijimamboTAMCO FAMILY DAY- June 6, 2015
ASALAAM ALAYKUM WA RAHMATULLAH WA BARAKATUH
Uongozi wa Tanzanian Muslim Community in Washington Metropolitan (TAMCO) Unapenda Kuwatangazia na Kuwaalika WaTanzania Wote kwenye Shughuli ya TAMCO Family Day/Picnic Day.
Pia Tunapenda Kuwajulisha kutakuwa Fund Raising kwa Ajili ya Maandalizi ya Mfungo wa Ramadhan na Kuendeleza Shughuli Zetu Zingine za TAMCO.
Jumamosi ya Tarehe June 6, 2015 Kuanzia Saa Nane Mchana.
Address: Indian Spring Terrace Local Park9717 Lawndale Dr. Silver Spring MD 20901
Kwa...
10 years ago
VijimamboReggae Time ya Pride FM....Jumamosi June 13, 2015
Mubelwa Bandio na Babu SikareLeo ni International Albinism Awareness Day.
Na inaadhimishwa kwa mara ya kwanza tangu UN iitangaze (Nov 18 2014)
Katika sehemu ya kwanza ya kipindi, nimezungumza na Babu Sikare, mwanaharakati mTanzania aishiye hapa USA aliyeshiriki mchakato wa miaka kadhaa kupigania siku hii.
Kipindi cha REGGAE TIME kutoka Pride Fm Mtwara Tanzania hutayarishwa na kutangazwa na Mubelwa Bandio
Husikika kila Jumamosi kuanzia saa tisa kamili alasiri kwa saa za Afrika Mashariki
Radio hii...

Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania