Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


SAIKOLOJIA&UTAFITI: Leo ni siku mbaya kwa wenye wapenzi wa ovyo

>Leo ni Siku ya Wapendanao ‘Valentine Day’. Lengo hasa la siku hii ni kuonyesha upendo kwa watu au mtu ambaye unampenda kwa dhati.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

SAIKOLOJIA&UTAFITI: Wanawake wanapolaumiwa kwa kuwatesa wanaume

Imezoeleka kusikia kwamba wanawake ndio wanaonyanyaswa; sasa taarifa mpya ni kwamba idadi ya wanaume wanaonyanyaswa na wanawake nchini inaongezeka.

 

11 years ago

Mwananchi

SAIKOLOJIA&UTAFITI: Utafanikiwaje wakati unaogopa kujaribu?

>Unapozungumza na watu karibu wote duniani, kila mtu atakwambia ninachotaka ni kuwa na maisha bora.

 

11 years ago

Mwananchi

SAIKOLOJIA & UTAFITI: Namna ya kupata ufadhili wa masomo au miradi

>Hongera ndugu yangu kwa kufika mwaka mpya wa 2014, ni suala la kumshukuru Mungu maana kuna wenzetu wengi ambao walikuwa na shauku ya kuingia mwaka huu lakini wameshindwa, wengine wamepatwa na mikasa mizito iliyoharibu kabisa ndoto zao.

 

11 years ago

Mwananchi

SAIKOLOJIA&UTAFITI: Tatizo la wanaume dhaifu linavyohatarisha ndoa

>Ni vigumu kufahamu haya, lakini ndio ukweli kuwa kuna kasi ya kuongezeka kwa wanaume dhaifu nchini na ulimwengu kwa ujumla.

 

11 years ago

Mwananchi

SAIKOLOJIA&UTAFITI: Waajiriwa wengi hufa maskini, tafakari ndugu

>Karibu ndugu yangu katika safu hii ambayo imekuwa ni msaada hasa kwa watu wenye ndoto za kubadilika katika maisha.

 

10 years ago

Bongo5

Utafiti waitaja Tanzania miongoni mwa nchi zenye watu wenye roho mbaya Afrika!

Kwa mujibu wa ripoti ya World Giving Index 2014, Tanzania ni miongoni mwa nchi zenye watu wenye roho mbaya barani Afrika. Hiyo ni kwa mujibu wa utafiti uliodhaminiwa na Charities Aid Foundation (CAF) na kufanywa na kampuni ya utafiti ya Gallup na kuhusisha nchi 135 duniani kote. Data hizo zilikusanywa kuanzia mwaka 2013. Tanzania ilikamata […]

 

10 years ago

Michuzi

JK aongoza maadhimisho ya siku ya watu wenye Albinism Duniani leo jijini Arusha.

 Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na baadhi ya watoto wenye albinism mara baada ya kuwasili katika uwanja wa michezo wa Sheikh amri Abeid mjini Arusha leo ambapo aliongoza maadhimisho ya siku ya watu wenye Albinism Duniani leo.Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete pamoja na Mkewe Mama Salma Kikwete wakiwa na baadhi ya watoto wenye albism katika uwanja wa michezo wa Sheikh Amri Abeid mjini Arusha wakati wa maadhimisho ya siku ya watu wenye albinism Duniani leo. Picha na Freddy Maro

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani