SALAMU NZITO KWA RAIS NA MKOMBOZI MPYA WA TAIFA HILI ALIYETUANDALIA
Salamu za mwisho kwa Rais wangu
Na Angela Kiwia
NIMEKUWA na utaratibu wa kumuandikia Rais wangu barua na salamu ambazo huandikwa kupitia ukurasa huu.Nimekuwa nikitumia utaratibu huu kutokana na kutopata fulsa ya kumkaribia na kuonana naye uso kwa macho.Hivyo basi kutokana na fulsa niliyonayo kupitia Kurunzi nimekuwa nikimtumia salam zangu ambazo kwa hakika huwa zinamfikia ipasavyo.
Natambua ya kuwa wapo ambao wamekuwa wakifikisha salamu hizi kwa kuzipindisha na kuweka uchochezi kwa manufaaa...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog01 Jan
Salamu za mwaka mpya za Rais Mheshimiwa Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete kwa watanzania
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete.
HOTUBA YA MWAKA 2015 – FINAL.doc by moblog
10 years ago
Michuzi
SALAMU ZA MWAKA MPYA ZA RAIS WA JAMHURI YAMUUNGANO WA TANZANIA, MHESHIMIWA DKT. JAKAYA MRISHO KIKWETE KWA WATANZANIA

10 years ago
GPL
SALAMU ZA MWAKA MPYA ZA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, MHESHIMIWA DKT. JAKAYA MRISHO KIKWETE KWA WATANZANIA,
5 years ago
CCM Blog
RAIS MAGUFULI AMTUMIA SALAMU ZA PONGEZI RAIS MPYA WA BURUNDI

Rais Magufuli ametoa pongezi hizo kupitia ukurasa wake wa Twitter, na kuongeza kuwa wananchi wa Burundi wameonesha imani kubwa kwa kumchagua kiongozi hiyo.
“Nakupongeza Ndg. Evariste Ndayishimiye kwa kuchaguliwa kuwa Rais wa Burundi. Wananchi wa Burundi wameonesha imani kubwa kwako,” ameandika Rais Magufuli.
Aidha, amewatakia heri wananchi katika shughuli za ujenzi wa...
11 years ago
GPL02 Jan
10 years ago
Michuzi.jpg)
RAIS WA ZANZIBAR ATOA SALAMU ZA MWAKA MPYA
.jpg)
11 years ago
Tanzania Daima05 Jan
Mchango wa kijana ni mkubwa kwa taifa hili!
NINA kila sababu ya kumshukuru Mungu kwa kunivusha na kuuona mwaka mwingine. Nachukua fursa hii kuwashukuru wote walionitumia ujumbe baada ya kusoma makala ya wiki iliyopita. Tumejipanga vipi kuhakikisha mwaka...
10 years ago
Dewji Blog24 Feb
Rais Kikwete amtumia salamu za pongezi Askofu mpya wa Jimbo Katoliki Shinyanga
Padre Liberatus Sangu wa Jimbo Katoliki la Sumbawanga aliyeteuliwa kuwa Askofu Mpya wa Jimbo Katoliki la Shinyanga.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete amemtumia Salamu za Pongezi Rais wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (T.E.C) na Askofu wa Jimbo Katoliki la Iringa, Mhashamu Baba Askofu Tarcisius Ngalalekumtwa, kufuatia uteuzi uliofanywa na Baba Mtakatifu Francis, wa Padre Liberatus Sangu wa Jimbo Katoliki la Sumbawanga kuwa Askofu Mpya wa...
10 years ago
Dewji Blog26 Nov
Rais Kikwete apokea salamu za kheri kutoka kwa Rais Obama
Balozi wa Tanzania nchini Marekani Mh.Liberata Mulamula akiwasilisha kwa Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete salamu za kumtakia kheri na afya njema kutoka kwa Rais wa Marekani Barack Obama leo jijini Baltimore, Maryland, Marekani.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisoma salamu maalumu za kumtakia kheri na afya njema kutoka kwa Rais Barack Obama wa Marekani leo jijini Baltimore, Maryland, Marekani.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Balozi Liberata Mulamula na ujumbe wake wa...