Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Salamu Za Mwaka Mpya Kutoka Mjengwablog

Ndugu zangu,
Imekuwa ni utamaduni wangu kutuma salamu za Mwaka Mpya kwa wajumbe wangu wa Mjengwablog, marafiki zangu kwenye FB na wengine walio ndani na nje ya mitandao ya kijamii.Nimefanya hivyo tangu mwaka 2006 ilipoanzishwa Mjengwablog. Na mwaka huu naendeleza utamaduni huo.Ndugu zangu,
Naandika salamu hizi nikiwa hapa Iringa, na nikiwa na mambo mawili ya kuwaeleza; Mosi, napenda kuwahakikishia kuwa Mjengwablog/KwanzaJamii itaingia mwaka mpya wa 2016 na kasi zaidi ya mwaka jana. Tutazidisha...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

SALAMU ZA CHRISTMAS NA MWAKA MPYA KUTOKA LIBENEKE LA LYAMBA Lya Mfipa

Kwa niaba ya jopo zima la blogu ya Lyamba Lya Mfipa inayopatikana kwa anuani ya www.jodanyp.blogspot.com,  mhariri mkuu wa LYAMBA Lya Mfipa Bw.Joachim Nyambo anawatakia heri ya Krismasi na Mwaka mpya 2015.Tunatambua mchango wadau wetu na tunawaahidi kuongeza ubora wa huduma zetu za uhabarishaji.
J.D.Nyambo.Mhariri mkuu Lyamba Lya Mfipa

 

10 years ago

Vijimambo

SALAMU ZA KRISMASI NA KHERI YA MWAKA MPYA KUTOKA UONGOZI WA JUMUIYA YA WATANZANIA NEW YORK

Uongozi wa Jumuiya ya Watanzania New York,New Jersey,Connecticut na Pennsylvania unawatakia sikukuu njema wanajumuiya wote wa New York Tanzanian Community(NYTC).Tunakutakieni furaha katika sikukuu hizi,mapenzi pamoja na Afya njema,ni matumaini yetu kuwa mwaka tunaouaga ulikuwa ni mwaka wa kheri,mafanikio na baraka nyingi na kwa pamoja tunamuomba Mola aujaalie mwaka ujao 2015 uwe wenye mafanikio,Afya njema na adumishe umoja wetu ili tuendelee kushirikiana kama ambavyo tumeweza kufanya hivyo...

 

9 years ago

Michuzi

SALAMU ZA X- MAS NA MWAKA MPYA 2016 KUTOKA KWA KAMANDA WA POLISI MKOA WA MBEYA

KAMANDA WA POLISI MKOA WA MBEYA, KAMISHNA MSAIDIZI MWANDAMIZI WA POLISI AHMED ZAHORO MSANGI - SACP, ANAWATAKIA WAANDISHI WOTE WA HABARI "HERI YA KRISMAS NA MWAKA MPYA, 2016"
KAULI MBIU: "ULINZI UNAANZA NA MIMI, WEWE NA SISI SOTE"KUMBUKA: WHEN YOU SEE SOMETHING, SAY SOMETHING.TUSHEREHEKEE KWA AMANI NA UTULIVU SIKUKUU YA KRISMAS NA MWAKA MPYA, 2016.
AHSANTENI!!!!

 

11 years ago

Mwananchi

Papa Francisko atoa salamu za Mwaka Mpya

>Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani, Baba Mtakatifu Francisko ametoa ujumbe maalumu wa salamu za Mwaka Mpya, akisema vitendo vya rushwa na ufisadi ndivyo vinavyotishia kuuvuruga umoja na amani dunia.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani