Salva Kiir atia saini mkataba wa amani
Rais wa Sudan Kusini Salva Kiir ametia saini makubaliano ya amani yanayonuiwa kumaliza mzozo uliodumu kwa muda wa miezi ishirini.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
9 years ago
BBCSwahili17 Aug
Salva Kiir akataa kutia sahihi mkataba
Serikali ya Sudan Kusini imekataa kusaini mkataba uliotarajiwa kuleta amani na kumaliza mapigano yaliyodumu nchini humo kwa zaidi ya miezi ishirini.
9 years ago
BBCSwahili25 Aug
Salva Kiir akubali kutia sahihi ya amani
Rais wa Sudan Kusini Salva Kiir amesema kuwa ataweka sahihi ya makubaliano ya amani siku ya jumatano baada ya kukataa kufanya hivyo wiki iliopita.
9 years ago
BBCSwahili15 Sep
Kiir aahidi kutekeleza mkataba wa amani
Akihutubu kupitia runinga ya taifa Kiir amesema amejitolea kufanikisha mkataba wa amani uliotiwa saini mwezi uliopita.
11 years ago
BBCSwahili06 Jan
Bashir kukutana na Salva Kiir
Rais wa Sudan Omar al-Bashir anatarajiwa kwenda Juba kwa mazungumzo na Rais wa Sudan Kusini Salva Kiir nchi hiyo inapokumbwa na vita.
10 years ago
BBCSwahili20 Oct
Salva Kiir, Machar kukutana Tanzania
Rais wa Sudan Kusini, Salva Kiir na aliyekuwa makamu wake Riek Machar, wanakutana Tanzania kutafuta suluhu ya kisiasa nchini mwao.
10 years ago
BBCSwahili23 May
Salva Kiir:Vikwazo vitachochea vita
Rais wa Sudan Kusini Salva Kiir amesema kuwa vikwazo vya kimataifa vitachochoea zaidi vita vya wenyewe kwa wenyewe nchini humo.
10 years ago
BBCSwahili14 Feb
Salva Kiir atabaki zaidi madarakani
Sudan Kusini yaahirisha uchaguzi uliotarajiwa kufanywa kati ya mwaka kwa sababu yataka muda kujadili amani
10 years ago
BBCSwahili28 Sep
Salva Kiir sasa ataka kusitshwa kwa vita
Rais wa Sudan Kusini Salva Kiir amesema kuwa serikali yake imejitolea kumaliza vita nchini nchini humo.
10 years ago
TheCitizen01 Feb
Letter to South Sudan’s Dr Riek Machal and Salva Kiir
I hope you are fine, and now you can sleep peacefully after signing a peace agreement in Ngurdoto Tanzania. I salute you. Reaching such a juncture after long time fighting is recommendable and welcome, especially, for the people of South Sudan. I understand. You both, hand-in-hand, fought for the emancipation of your esteemed nation referred to as the youngest nation of the world. Again, your country is young but you are not. This being the case, your maturity is an asset for the young...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania