SAMATTA ACHEZA MECHI YOTE ASTON VILLA YACHAPWA 1-0 NA WOLVERHAMPTON WANDERERS NYUMBANI
![](https://1.bp.blogspot.com/-S7Gt_-0uhbg/XveCk5KR37I/AAAAAAADdgw/1P-LYUAaBBkNnL-PImlZvpAP_5ZhQlsMACNcBGAsYHQ/s72-c/30121278-8465685-Wolves_midfielder_Ruben_Neves_throws_himself_into_a_challenge_wi-a-1_1593265651531.jpg)
Na Mwandishi Wetu, BirminghamMSHAMBULIAJI wa kimataifa wa Tanzania, Mbwana Ally Samatta leo amecheza kwa dakika zote timu yake, Aston Villa ikichapwa 1-0 na Wolverhampton Wanderers FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Villa Park Jijini Birmingham.
Aston Villa ambao leo wamecheza mechi ya nne ndani ya siku 11, sasa wamefikisha mechi nane za ligi bila kushinda na mbaya zaidi wanaonekana wana tatizo kubwa katika safu yao ya ushambuliaji.
Kipigo hicho kinazidi kuwachimbia kaburi Aston...
CCM Blog
Habari Zinazoendana
5 years ago
CCM Blog![](https://1.bp.blogspot.com/-TWgXLGhbbx4/XvQ_aB_xkYI/AAAAAAADddk/Ed0xIkKlOpkpQpKIvSceie3oERp12ZPLwCNcBGAsYHQ/s72-c/30016422-8456705-image-a-18_1593025427694.jpg)
SAMATTA ACHEZA HADI MWISHO ASTON VILLA YATOA SARE YA 1-1 NA NEWCASTLE ST. JAMES' PARK
Wenyeji, Newcastle United walitangulia kwa bao la Dwight Gayle dakika ya 68 kabla ya Ahmed Elmohamady kuisawazishia Newcastle United dakika ya 83.
Kwa sare hiyo, Aston Villa inafikisha pointi 27 baada ya kucheza mechi 31, ingawa inabaki nafasi ya 19 mbele ya Norwich City...
5 years ago
BBCSwahili13 Feb
Mbwana Samatta: Mamia wajitokeza Mbagala kuangalia mechi ya Aston Villa vs Leicester
10 years ago
BBCSwahili04 Mar
Westbrom yachapwa na Aston Villa 2-1
5 years ago
Goal.Com23 Feb
Samatta: I’m starting to understand my Aston Villa teammates
5 years ago
Sports Mole04 Apr
Galatasaray interested in Aston Villa striker Mbwana Samatta?
5 years ago
Birmingham Live05 Mar
'Insane' - Aston Villa fans rate Mbwana Samatta impact
5 years ago
Goal.Com17 Feb
Samatta: Aston Villa star makes Premier League home debut against Tottenham Hotspur
5 years ago
Daily Mail05 Mar
Aston Villa given approval by Premier League to go ahead with sale of Villa Park
5 years ago
Daily Mail10 Mar
Leicester 4-0 Aston Villa: Foxes savage sorry Villa after Pepe Reina horror show