Samatta: Nigeria walitudanganya
Nyota wa Taifa Stars, Mbwana Samatta amesema timu hiyo ya taifa ilishindwa kupata matokeo mbele ya Nigeria Jumamosi baada ya kuingia katika mtego wao na kushindwa kucheza soka la kushambulia wakati wote.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-Q9UjoRHA1f8/VoultpKMLmI/AAAAAAAIQf4/r3Tz89_Xrjc/s72-c/IMG_8143.jpg)
MWESIGWA KUONGOZANA NA SAMATTA NIGERIA
![](http://2.bp.blogspot.com/-Q9UjoRHA1f8/VoultpKMLmI/AAAAAAAIQf4/r3Tz89_Xrjc/s400/IMG_8143.jpg)
Mwesigwa anatarajiwa kuondoka na Samatta kuelekea Nigeria katika mji wa Abuja ambapo sherehe za utoaji tuzo hizo zitafayika Alhamisi Januari 7, ambapo siku ya sherehe hizo Katibu Mkuu...
9 years ago
Global Publishers05 Jan
Tuzo za Mchezaji Bora Afrika… Samatta Kukwea Pipa Kesho Kwenda Nigeria
Mbwana Samatta
Katibu Mkuu wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Mwesigwa Selestine kesho Jumatano anatarajiwa kuongozana na mshambuliaji wa timu ya Taifa ya Tanzania na klabu ya TP Mazembe ya Congo DR, Mbwana Samatta kuelekea nchini Nigeria kwenye sherehe za utoaji wa tuzo kwa wachezaji bora barania Afrika.
Mbwana Samatta
Mwesigwa anatarajiwa kuondoka na Samatta kuelekea Nigeria katika mji wa Abuja ambapo sherehe za utoaji tuzo hizo zitafayika Alhamisi Januari 7, ambapo siku ya...