Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Samatta: Ubingwa ni zawadi kwa mama

Mshambuliaji wa TP Mazembe, Mbwana Samatta amesema medali yake ya ubingwa wa Ligi ya Mabingwa na ufungaji bora wa Afrika, ameitoa kwa baba na marehemu mama yake.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo5

Samatta awa mfungaji bora, TP Mazembe yachukua ubingwa wa Afrika

Mbwana

Klabu ya TP Mazembe ya Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo imechukua kombe la michuano ya mabingwa wa Afrika baada ya kuifunga mabao 2-0 USM Alger ya Algeria kwenye fainali zilizochezwa jana mjini Lubumbashi.

Mbwana
Samatta alifunga bao moja kwenye mechi hiyo na kufikisha mabao saba yaliyomfanya kuwa mfungaji bora wa michuano hiyo.

Samatta aliyezaliwa Januari 7, 1992 anacheza kama mshambuliaji kwenye klabu hiyo yenye makazi yake mjini Lubumbashi.

Mchezaji huyo anajulikana kutokana na magoli saba...

 

11 years ago

Dewji Blog

Profesa Ana Tibaijuka akabidhi rasmi zawadi yake ya Tsh.9,500,000 kwa Mama Shujaa wa Chakula

unnamed

 Mkurugenzi mtendaji wa DMB ambao ndio wamiliki wa Shindano la Maisha Plus Masoud Ally ‘Kipanya’ akiwa anaendelea kuendesha ratiba wakati wa Sherehe fupi za Waziri wa Nyumba Ardhi na maendeleo ya Makazi Profesa Anna Tibaijuka kukabidhi zawadi kwa washindi wa Mama shujaa wa Chakula pamoja na washiriki wote wa Maisha Plus 2014.

unnamed (1)

Afisa Mradi wa UKIMWI kutoka OXFAM Ester Mhagama akifungua rasmi sherehe hiyo fupi ya utoaji wa zawadi pamoja na kumkaribisha Mgeni rasmi apate kuongea na Mama...

 

11 years ago

Michuzi

Mama Kikwete apewa Zawadi ya Kinyago

 Mkrugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi wa Mifuko ya Hifadhi za jamii(SSRA) Bibi Irene Kisaka akimkabidhi zawadi ya kinyago cha mpingo Mke wa Rais Mama Salma Kikwete kwa kutambua mchango wake katika kumsaidia Mh.Rais katika jitihada zake za kujenga utawala bora nchini katika hafla iliyofanyika katika ukumbi wa Mikutano wa kimataifa wa Julius Nyerere(JNICC) jijini Dar es Salaam jana usiku(picha na Freddy Maro).

 

11 years ago

GPL

DIAMOND AMWANDALIA ZAWADI MAMA YAKE

Diamond akiwa na mama yake mzazi, Sanura Kasim 'Sandra'. STAA wa Bongo Fleva, Nasib Abdul 'Diamond Platnumz', kesho ataachia video zake mbili ikiwa ni zawadi kwa mama yake mzazi, Sanura Kasim 'Sandra' aliyezaliwa Julai 7. Kupitia akaunti yake ya Facebook, Diamond aliandika hivi:

 

11 years ago

Michuzi

Mama Shujaa wa chakula mtandaoni akabidhiwa zawadi ya shamba

 Mshindi wa shindano la Mama shujaa wa chakula mtandaoni, Neema Urassa Kivugo jana alikabidhiwa zawadi ya shamba la hekari 10 alilochagua kwa ajili ya shughuli za kilimo. 
Neema Urassa Kivugo ambaye alishinda vifaa vya kilimo vyenye thamani ya Tshs. Milioni 5 alichagua kununua shamba ili amiliki ardhi yake mwenyewe. Akiongea wakati wa makabidhiano hayo, Neema alisema, ''kupitia kilimo katika shamba langu mwenyewe, sasa nitaweza kumalizia ada ya wanangu na pia ujenzi wa nyumba yangu...

 

11 years ago

Michuzi

HATIMAYE MAMA SHUJAA WA CHAKULA 2014 AKABIDHIWA ZAWADI YAKE WILAYANI UKEREWE MWANZA

 Mama Shujaa wa Chakula 2014  Bahati Muriga akitoa neno la Shukurani Baada ya Kukabidhiwa zawadi rasmi zawadi zake Wilayani kwake UkereweEluka Kibona kutoka Oxfam akimkabidhi ufunguo wa Pikipiki Mshindi wa Mama shujaa wa Chakula Mama Shujaa wa Chakula 2014 Bahati Muriga akisaini kupokea zawadi zake kutoka OXFAM kupitia Programu ya GROW, Wekeza kwa wakulima wadogo wadogo Inalipa. Kwa picha zaidi na habari BOFYA HAPA

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani