Mama Kikwete apewa Zawadi ya Kinyago
![](http://3.bp.blogspot.com/-HzpJsHhe29o/U6mAT5HPZ8I/AAAAAAAFsqw/uMJSrbdp1AY/s72-c/D92A3548.jpg)
Mkrugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi wa Mifuko ya Hifadhi za jamii(SSRA) Bibi Irene Kisaka akimkabidhi zawadi ya kinyago cha mpingo Mke wa Rais Mama Salma Kikwete kwa kutambua mchango wake katika kumsaidia Mh.Rais katika jitihada zake za kujenga utawala bora nchini katika hafla iliyofanyika katika ukumbi wa Mikutano wa kimataifa wa Julius Nyerere(JNICC) jijini Dar es Salaam jana usiku(picha na Freddy Maro).
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi13 Apr
Mama Salma Kikwete apewa tuzo na Amref
10 years ago
Dewji Blog26 Jul
Mama Kikwete apewa tuzo ya kimataifa ya mwaka 2015 ya Kiongozi bora Mwanamke
Mke wa Rais na Mwenyekiti wa WAMA, Mama Salma Kikwete akipokea TUZO maalum ya “ CWL International Women of Excellency Award for Leadership” kutoka kwa Profesa Joseph Adaikalam, Mwanzilishi na Mtendaji Mkuu wa Chuo Kukuu cha Binary kilichoko nchini Malaysia kwa kutambua na kuthamini mchango wake katika maendeleo ya wanawake nchini Tanzania na Afrika tarehe 24.7.2015. Aliyesimama (kushoto) ni Balozi wa Tanzania nchini Malaysia Dkt. Aziz Mlima, akifuatiwa na Profesa Bulochana Nair na Kulia ni...
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-uow3g9c8x0o/VCkLgiXHn6I/AAAAAAAGmac/qzDYZxLhZvM/s72-c/Salma-Kikwete.jpg)
MAMA KIKWETE APEWA MASHINE YA KUPIMA SARATANI YA MATITI YENYE THAMANI YA ZAIDI YA DOLA 200000
![](http://3.bp.blogspot.com/-uow3g9c8x0o/VCkLgiXHn6I/AAAAAAAGmac/qzDYZxLhZvM/s1600/Salma-Kikwete.jpg)
Na Anna Nkinda – Maelezo, Washington.
29/9/2014 Chama cha Wanawake wa Afrika na Uelewa wa Saratani (African Women Cancer Awareness Assossiation - AWCAA) imemkabidhi Mke wa Rais Mama Salma kikwete mashine moja ya Mammogram ambayo inatumika kupima ugonjwa wa saratani ya matiti yenye thamani yazaidi dola za kimarekani laki mbili.
Makabidhiano hayo yalifanyika jana katika ukumbi wa mikutano wa Ubalozi wa Tanzania uliopo mjini Washington D.C nchini Marekani.
Akiongea mara baada ya kukabidhiwa...
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-Y1MknEa-lik/U1Vn9riWV6I/AAAAAAAFcOA/YLZQ2NIJFXw/s72-c/unnamed+(23).jpg)
MAMA SALMA KIKWETE ATEMBELEA KITUO CHA WALEMAVU CHA RASIBURA NA KUTOA ZAWADI YA PASAKA
![](http://4.bp.blogspot.com/-Y1MknEa-lik/U1Vn9riWV6I/AAAAAAAFcOA/YLZQ2NIJFXw/s1600/unnamed+(23).jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-Kt9QsyX1nwI/U1Vn-bQ2ZgI/AAAAAAAFcOI/TjuGQBz0Lhk/s1600/unnamed+(24).jpg)
9 years ago
Global Publishers20 Dec
Tonto Dikeh apewa Prado na mumewe kama zawadi ya Krismasi
Toyota Prado
MSANII mwenye vituko kunako tasnia ya filamu, Nollywood, Tonto Dikeh Sikukuu ya Krismasi mwaka huu imekuwa nzuri kwake baada ya mumewe kipenzi, Olanrewaju Churchill kumkabidhi Prado nyeupe kama zawadi ya sikukuu.
Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Tonto aliweka furaha yake kwa mashabiki kwa kutupia picha ya gari hilo na kumuita mumewe huyo KingKong.
“Ahsante kwa KingKong wangu kwa kunibariki gari hili ambalo ni jipya kabisa, Prado ya mwaka 2016. Mungu akubariki sana wewe mtu...
11 years ago
Bongo Movies04 Aug
Muigizaji Pastor Myamba apewa zawadi ya Tsh milioni 250 kwenye harusi yake.
Harusi ya Pastor Myamba pengine ndiyo harusi ya star wa Tanzania kuzawadia mali nyingi zaidi ! Myamba amefunga ndoa Zanzibar weend hii huku akizawadia zawadi kibao za mamilioni likiwemo gari na pesa taslim shilingi milioni 250 za kitanzania. Mastaa mbalimbali wamehudhuria harusi hiyo visiwani Zanzibar.
10 years ago
Bongo Movies03 Oct
10 years ago
Bongo Movies03 Oct
10 years ago
Bongo515 Sep
Rio Ferdinand apewa zawadi na Sir Bobby Charlton kwa kuitumikia Man United kwa miaka12