Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Samatta, Ulimwengu waizima Malawi, ila...

Licha ya washambuliaji wa TP Mazembe, Mbwana Samatta na Thomas Ulimwengu kuiongoza vyema Taifa Stars kuichapa Malawi mabao 2-0 jana kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam, lakini bado ina safari ndefu kufuzu kwa hatua inayofuata.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Samatta,Ulimwengu, kuikabili Malawi

Wachezi wa timu ya Taifa ya Tanzania, Mbwana Samatta na Thomas Ulimwengu wamewasili nyumbani Tanzania kujiunga na timu ya taifa

 

9 years ago

TheCitizen

Samatta, Ulimwengu, Ngassa out

Tanzanian TP Mazembe duo Mbwana Samatta and Thomas Ulimwengu as well as Mrisho Ngassa who ply his trade with South African Free State Stars have been left out of the Kilimanjaro Stars squad that will take part in the forthcoming Cecafa Senior Challenge Cup to be held in Ethiopia.

 

9 years ago

Mwananchi

‘Ulimwengu, Samatta kiboko’

Kocha wa timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’, Charles Boniface Mkwasa amewapongeza washambuliaji wakeThomas Ulimwengu na Mbwana Samatta kwa kucheza vizuri licha ya kutopata muda wa kupumzika.

 

9 years ago

Mwananchi

Kila kona ni Samatta, Ulimwengu

Wakati washambuliaji Mbwana Samatta na Thomas Ulimwengu wakisaka rekodi ya kuwa Watanzania wa kwanza kutwaa ubingwa wa Ligi ya Mabingwa Afrika, TP Mazembe wanayoichezea inasaka taji la tano la mashindano hayo leo dhidi ya USM Alger.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Samatta, Ulimwengu wawafuata Msumbiji

NYOTA wa kimataifa wa Tanzania wanaochezea klabu ya TP Mazembe ya DR Congo, Mbwana Samatta na Thomas Ulimwengu, wanatarajiwa kuwasili nchini kesho. Wachezaji hao wanakuja kujiunga na kambi ya timu...

 

9 years ago

Mwananchi

Mwisho wa Ulimwengu, Samatta umewadia

Uswahiba una mwisho wake. Mwisho wa uswahiba wa mastaa wawili wa TP Mazembe na timu ya taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’, Mbwana Samatta na Thomas Ulimwengu unaonekana umewadia na muda si mrefu hawatakuwa karibu tena.

 

9 years ago

Habarileo

Malinzi awapongeza Samatta, Ulimwengu

RAIS wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Jamal Malinzi (pichani) amewatumia salamu za pongezi wachezaji Mbwana Samatta na Thomas Ulimwengu wanaochezea klabu ya TP Mazembe ya Congo DR kufuatia kutwaa Ubingwa wa Ligi ya Mabingwa Afrika (CL) juzi kwa kuifunga timu ya USM Algiers kwa jumla ya mabao 4-1.

 

9 years ago

Mtanzania

Samatta, Ulimwengu wamdatisha Mfaransa

Samatta-UlimwenguNA ABDUCADO EMMANUEL, DAR ES SALAAM

KOCHA Mkuu wa timu ya Taifa ya Algeria ‘The Desert Foxes’, Christian Gourcuff, ameukubali uwezo ulioonyeshwa na wachezaji wa Tanzania ‘Taifa Stars’ wakiwemo nyota wa kikosi hicho, Mbwana Samatta na Thomas Ulimwengu.

Kauli ya Mfaransa huyo imekuja baada ya Stars kutoa sare ya mabao 2-2 dhidi ya kikosi chake kwenye mchezo wa kufuzu Fainali za Kombe la Dunia 2018 nchini Urusi uliofanyika Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam juzi.

Licha ya Samatta kufunga moja ya...

 

9 years ago

Mtanzania

Samatta, Ulimwengu waikosa Barcelona

Samatta-UlimwenguBADI MCHOMOLO, DAR ES SALAAM

NDOTO za Watanzania Mbwana Samatta na Thomas Ulimwengu wanaokipiga TP Mazembe ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo kucheza na Barcelona zilizimwa jana na Sanfrecce Hiroshima ya Japan.

TP Mazembe ambao ni mabingwa wa Afrika ngazi ya klabu ilipokea kipigo cha mabao 3-0 dhidi ya wapinzani wao katika michuano ya Klabu Bingwa Dunia inayoendelea nchini Japan.

Mazembe waliweza kumiliki mchezo huo kwa dakika 40 za kipindi cha kwanza kabla ya kuruhusu wapinzani wao kupata...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani