Samia anafaa kuwa mgombea mwenza — Pinda
Waziri Mkuu Mizengo Pinda
NA AZIZA MASOUD, DAR ES SALAAM
WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda amempigia ‘debe’ Makamu Mwenyekiti wa Bunge Maalumu la Katiba, Samia Suluhu Hassan, kuwa ni mwanamke shupavu anayeweza kuwa mgombea mwenza katika Uchaguzi Mkuu ujao wa mwaka 2015.
Akizungumza bungeni mjini Dodoma jana wakati wa kutoa shukrani, Pinda alisema Samia amepewa sifa kubwa kutokana na kazi nzuri aliyofanya ya kuliongoza Bunge hilo kwa uadilifu.
“Makamu mwenyekiti leo umepewa sifa kubwa, nimeambiwa...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
10 years ago
VijimamboSamia Suluhu achaguliwa kuwa mgombea mwenza
10 years ago
Vijimambo
MH. MAGUFULI AMTANGAZA SAMIA SULUHU HASSAN KUWA MGOMBEA MWENZA WAKE

Mgombea urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi, Mh John Pombe Magufuli amemtangaza mgombea mwenza wake kuwa ni Mh. Samia Suluhu Hassan.
Mh Magufuli amemtangaza Mh Samia wakati alipokuwa akikishukuru chama chake kwa kumteua kuipeperusha bendera ya chama hicho katika uchaguzi mkuu ujao baadaye mwaka huu.
Baada ya kumtangaza Mh Samia kuwa mgombea mwenza wake, ukumbi mzima ulilipuka kwa shangwe na vigelele.
Hii ni mara ya kwanza tangu uhuru kwa Tanzania kuwa...
10 years ago
Mwananchi13 Jul
Samia Suluhu mgombea mwenza wa Magufuli
10 years ago
Habarileo13 Jul
Samia awa mgombea mwenza CCM
KWA mara ya kwanza Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimemteua mwanachama wake mwanamke kuwa mgombea mwenza wa urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Uchaguzi Mkuu waOktoba 25, mwaka huu na kuweka historia.
10 years ago
Vijimambo
PICHA: MGOMBEA WA URAIS KWA TIKETI YA CCM DKT. JOHN MAGUFULI NA MGOMBEA MWENZA MH. SAMIA SULUHU WACHUKUA FOMU YA KUGOMBEA URAIS









10 years ago
Mwananchi12 Jul
Mgombea urais mteule John Magufuli amteua Samiah Suluhu Hassan kuwa mgombea mwenza
10 years ago
Michuzi29 Sep
MAMA SAMIA SULUHU-MGOMBEA MWENZA ALIYEPANGA KUWAPIGANIA WANAWAKE

MCHUANO wa kampeni za Uchaguzi Mkuu wa Tanzania unaotarajia kufanyika Oktoba 25, 2015 unaendelea maeneo mbalimbali ya nchini, huku vyama anuai vilivyofanikiwa kuingia katika ushindani huo wa kisiasa vikinadi ilani na sera zao kwa Watanzania ili kuwashawishi wachaguliwe.
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa...
10 years ago
Habarileo13 Oct
Pinda: Magufuli anafaa kuwa rais, mchagueni
MJUMBE wa Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi Taifa (CC-CCM) ambaye pia ni mjumbe wa Halmashauri Kuu ya chama hicho (NEC), Mizengo Pinda amewaomba wananchi wamchague John Magufuli kwa kuwa ndiye anayefaa.
10 years ago
VijimamboMKUTANO MKUU ADC WAMPITISHA, CHIEF LUTASOLA YEMBA KUWA MGOMBEA URAIS TANZANIA BARA, SAID MIRAJI ABDULLAH MGOMBEA MWENZA