SAMIAH SULUHU AKABIDHIWA ILANI YA UCHAGUZI NA MTANDAO WA WANAWAKE NA KATIBA
![](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2015/09/1.Baadhi-ya-wanawake-waliojitokeza-katika-hafla-hiyo-wakiwa-katika-viwanja-vya-Karimjee-Dar..jpg)
 Baadhi ya wanawake waliojitokeza katika hafla hiyo wakiwa katika viwanja vya Karimjee, Dar. Sehemu waliyokuwa wamekaa baadhi ya wanawake kutoka vyama mabalimbali vya siasa waliojitokeza katika kinyanganyiro cha uchaguzi. ... mkutano ukiendelea. Baadhi ya akina mama waliojitokeza kwenye mkutano huo wakiwa kwenye picha ya pamoja na Samiah. Kutoka kulia ni mgombea mwenza kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Samiah Hassan...
GPL