SAPRAIZ
Stori:  Mayasa Mariwata SAPRAIZ! Beautiful Onyinye, Wema Isaac Sepetu (25) ameibua viulizo baada ya kuonekana akirandaranda na pete ya ndoa kidoleni ikidaiwa kuwa amevalishwa na Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ kwa siri kubwa, Ijumaa Wikienda lina stori exclusive. Beautiful Onyinye, Wema Isaac Sepetu (25) akionyesha pete aliyovishwa na Diamond. IJUMAA WIKIENDA MZIGONI Baada ya kuwepo kwa habari nyingi...
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
Global Publishers31 Dec
Mercy awafanyia sapraiz watoto wake
Mercy amsapraiz mtoto wake
AKIWA ametimiza mwaka mmoja tu tangu azaliwe, mkongwe kunako filamu Naija, Mercy Johnson-Okojie juzi kati aliamua kuwasapraiz watoto wake wote wawili, (Odi) pamoja na Purity kwa siku zao za kuzaliwa.
Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Mercy alishea picha za watoto wake hao ambapo Purity ana miaka 3 na Odi mmoja kisha akaandika;
“Kwa yote najisikia vizuri sana ndani ya kiwacchwa changu, kutoka kwa D (Odi), mtoto wangu PT (Purity), lakini nampa pongezi sana D,...
11 years ago
GPLGLOBAL PUBLISHERS WAMFANYIA ‘SAPRAIZ YA BETHIDEI’ SHIGONGO