Scholes, Ferdinand wamchana van Gaal, ajitetea
Manchester United imetolewa kwenye mashindano ya Ligi ya Mabingwa Ulaya baada ya kipigo cha mabao 3-2 kutoka Wolfsburg ya Ujerumani juzi usiku, wachezaji wa zamani, Paul Scholes, Ferdinand wamemchamba kocha Louis van Gaal.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili12 Jan
Van Gaal ajitetea kuhusu Falcao
Kocha wa Man United Louis Van Gaal amesema uamuzi wa kumuondoa mshambuliaji Radamel Falcao kutoka kwenye kikosi chake ulikuwa wa kiufundi.
10 years ago
BBCSwahili13 Dec
Neville na Scholes wamkosoa Van Gaal
Louis Van Gaal amewaambia wachezaji wa zamani Gary NevilLe na mwenzake Paul Scholes kwamba hawajui chochote kuhusu kilabu hiyo.
9 years ago
Mwananchi21 Nov
Van Gaal ajibu shutuma za Scholes
Kocha wa Manchester United, Louis van Gaal amemjibu kiungo wa zamani wa klabu hiyo, Paul Scholes aliyetoa maoni yake kuhusu aina yake ya ufundishaji akisema ina tofauti na alivyokuwa na mafanikio katika klabu ya Ajax.
9 years ago
Bongo530 Oct
Paul Scholes: Nisingeweza kucheza Man United, kwa mfumo wa Louis van Gaal
![scholes-615580](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/10/scholes-615580-94x94.jpg)
9 years ago
BBCSwahili26 Nov
Van Gaal:Tutashinda Wolfsburg
Mkufunzi wa kilabu ya Manchester United Louis Van Gaal amekiri kwamba klabu hiyo inakabiliwa na mechi ngumu itakapokutana na Worlfsburg.
10 years ago
BBCSwahili25 Oct
Mourinho amsifu Van Gaal
Mkufunzi wa timu ya Manchester Louis van Gaal amesisitiza kuwa hakuchukuwa jukumu kubwa la kumboresha Mourinho
11 years ago
BBCSwahili24 Jun
VAN GAAL : FIFA IMETUONEA
Mkufunzi wa Uholanzi Louis va Gaal ameikashifu ratiba ya mechi za mkondo wa pili akisema inapendelea mataifa mengine
10 years ago
BBCSwahili15 Dec
Hatufikirii ubingwa:Van gaal
meneja wa Manchester United Louis van Gaal amegoma kujitumbukiza katika mbio za ubingwa
10 years ago
BBCSwahili16 Aug
Van Gaal aambulia kichapo Old Trafford
Louis van Gaal aliambulia kichapo cha 2-1 dhidi ya Swansea katika mechi yake ya kwanza ya ligi.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania