Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Seif: Ilikuwa kazi kumshawishi Duni Haji

Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe (wa nneMwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe (wa nne kutoka kulia) akiwatambulisha kwa wajumbe wa Mkutano Mkuu, wanachama wapya waliojiunga na chama hicho wakitokea CCM na mmoja kutoka CUF. Kuanzia kulia ni aliyekuwa Mbunge wa Segerea, Dk Makongoro Mahanga, aliyekuwa Mbunge wa Arumeru Magharibi, Goodluck Ole Medeye, Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa, aliyekuwa Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Singida, Mgana Msindai, aliyekuwa Makamu Mwenyekiti wa CUF (Zanzibar), Juma Duni Haji, aliyekuwa Mbunge wa Viti...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

MAALIM SEIF, PROFESA LIPUMBA WAPETA TENA UCHAGUZAI WA CUF, JUMA HAJI DUNI MAKAMU MWENYEKITI

Na Hassan Hamad (OMKR)  Mkutano Mkuu wa CUF Taifa umemchagua tena Katibu Mkuu wa Chama hicho kuendelea na wadhifa huo kwa kupata kura 675, sawa na asilimia 99.5 ya kura zilizopigwa.  Mkutano huo pia umemchagua Prof. Ibrahim Lipumba kuwa Mwenyekiti wa CUF Taifa kwa kupata kura 659 sawa na asilimia 95.5 na kumshinda mpinzani wake Chifu Lutalosa Yemba aliyepata kura 30 sawa na asilimia 4 nukta 3.  Aidha mkutano huo umemchagua Mhe. Juma Duni Haji kuwa Makamu Mwenyekiti wa Chama hicho kwa kupata...

 

9 years ago

Mwananchi

10 years ago

Vijimambo

MH JUMA DUNI HAJI AZUNGUMZA UKARIBISHO WA MH EDWARD LOWASSA

Kada Mkongwe wa Chama cha wananchi CUF Juma Duni Haji amefunguka Mazito Kuhusu Ujio nwa Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli Mh Edward Lowassa anayetarajiwa Kujiunga na Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) Mh Duni Haji amepokea kwa Mikono miliwi ujio wa wa Kada huyo Mkongwe Kutoka Chama cha Mapinduzi

 

10 years ago

Mwananchi

cuf,zanzibar,duni,juma,haji,uchaguzi,2015,upinzani,

Juma Duni Haji ni Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Wananchi (CUF) ngazi ya Taifa na ni Waziri wa Afya wa Serikali ya Zanzibar.

 

9 years ago

Vijimambo

MGOMBEA MWENZA WA CHADEMA JUMA DUNI HAJI AFANYA MKUTANO RUFIJI

 Mgombea mwenza wa urais Chadema anayeungwa mkono na Ukawa, Juma Duni Haji akikaribishwa na mkazi wa Chumba, Futa Bakari wakati wa mkutano wa kampeni katika Viwanja vya Muhoro, Rufiji mkoani Pwani.Wananchi wakifuatili mkutano.
 Mgombea mwenza wa urais Chadema anayeungwa mkono na Ukawa, Juma Duni Haji akimnadi mgombea ubunge Jimbo la Kibiti CUF, Abdallah Ismail wakati wa mkutano wa kampeni katika Viwanja vya Jaribu mkoani Pwani. Mgombea mwenza wa Chadema anayeungwa mkono na Ukawa, Juma Duni...

 

9 years ago

Vijimambo

MGOMBEA MWENZA WA UKAWA JUMA DUNI HAJI ANGURUMA JIJINI TANGA

Mgombea Mwenza wa Ukawa kupitia Chadema, Juma Duni Haji akihutubia mkutano wa kampeni katika uwanja wa Tangamano mjini Tanga.Mgombea Mwenza wa Ukawa kupitia Chadema, Juma Duni Haji akipokea saluti kutoka kwa Mkuu wa Polisi Wilaya ya Tanga (OCD), Omary Ntungu alipowasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Tanga kwa ajili ya mikutano ya mkoani.Makamu Mwenyekitiwa Chadema, Zanzibar, Saud Issa Mohamed akimlaki Mgombea Mwenza wa Ukawa kupitia Chadema, Juma Duni Haji alipowasili kwenye Uwanja wa Ndege wa...

 

9 years ago

Vijimambo

MGOMBEA MWENZA WA CHADEMA JUMA DUNI HAJI AHUTUBIA MKUTANO MJINI DODOMA

 Mgombea mwenza wa Chadema, Juma Duni Haji akihutubia wananchi  kwenye mkutano wa kampeni kwenye Viwanja vya Shule ya Msingi Chang’ombe mkoani Dodoma. Wakazi wa Dodoma wakimsikiliza mgombea mwenza wa urais Chadema anayeungwa mkono na Ukawa akizungumza katika mkutano wa kampeni kwenye Viwanja vya Shule ya Msingi Chang’ombe.
 Waendesha Bodaboda wakimsindikiza mgombea mwenza wa urais, Juma Duni Haji wakati alipomaliza kuhutubia wakazi wa Dodoma katika Viwanja vya Shule ya Msingi Chang’ombe.

 

10 years ago

Mwananchi

Moyo: Nilitumwa kumshawishi Seif akubali matokeo 2010

>Mwanasiasa mkongwe aliyevuliwa uanachama wa CCM, Hassan Nassor Moyo (80) amesema yeye ndiye aliyefanya kazi kubwa, usiku kucha, kumshawishi Maalim Seif Sharrif Hamad, aliyekuwa mgombea urais wa Zanzibar kwa tiketi ya CUF, akubaliane na matokeo ya Uchaguzi Mkuu mwaka 2010 kabla ya hata kutangazwa.

 

9 years ago

Vijimambo

MGOMBEA MWENZA WA UKAWA JUMA DUNI HAJI AHUTUBIA MKUTANO WA KAMPENI MKOANI RUVUMA

 Mgombea Mwenza wa Ukawa kupitia Chadema, Juma Duni Haji akisalimiana na mgombea udiwani wa Ukawa kata ya Tingi wilaya ya Nyasa, Bosco Mapunda alipowasili katika kijiji cha Tingi mkoani Ruvuma kwa ajili ya mkutano wa kampeni kijijini hapo. (Picha na Francis Dande) Mgombea Mwenza wa Ukawa kupitia Chadema, Juma Duni Haji akisalimiana na baadhi ya madiwani wa Ukawa wa Kata ya Tingi alipowasili katika kijiji cha Tingi mkoani Ruvuma kwa ajili ya mkutano wa kampeni uliofanyika jimbo la Nyasa.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani